mi nachukia mtoaji mimba. but tukumbuke hamna mwanamke anayetoa mimba kama mwenzie wamekubaliana vizur watamlea mtoto.
mimba ikikatakiwa ndio hutoa.
Pia mwanamke aliyezaa mtoto na hakuolewa anasimangwa na kukejeliwa na wanaume sana
Hivyo mtu aliyepata mimba kuzaa yahitaji ujasiri sana.