We acha tu, sasa anataka equal time on SNL! What does that mean? SNL miaka hii minne itavuta sana umati wa watu ha sa kama Alec Baldwin taamua kuendelea kuwa Trump wa SNL. Sasa watu wameshajua kwamba hapendi kuzomewa basi subiri uone jinsi atakavyozomewa pale atakapofanya maamuzi ambayo wengi hawayaungi mkono. Mie nadhani huyu jamaa huwa halali na mwili wake umeshazoea kutolala. Nilisoma mahali wakati wa kampeni za Urais hasa hizi wiki za mwisho alikuwa akiwaomba wapambe wake wakae pamoja usiku wa manane kupiga gumzo au kucheza karata kwa kutotaka kuwa pekee yake na labda kuishia kutweet katika saa zake zile za kutweet. Nadhani huu ndiyo muda ambao wapambe wake walimpora account yake ya twitter hivyo akakosa kitu cha kumkeep busy.
Donald Trump says 'SNL' was 'biased' and asks for 'equal time for us'
Pence has a different opinion.
Mike Pence: 'I wasn't offended' by message of 'Hamilton' cast - CNNPolitics.com
Kinacho nisikitisha zaidi inaonekana mpaka sasa Kundi la Hillary na wapambe wake especially mfanya biashara tajili Bwana Soros bado awakubali kama walishindwa kihalali! Soros amefikia hatua ya kuwalipa waandamaji ili walete vurugu za kijinga jinga tu - SOROS na kundi lake wanataka Amerika isitawalike under Trump's Administration - ni aibu tupu, Hillary na wenzake wanafanya mambo ya kitoto kabisa!
Hillary anakuwa kig'ang'anizi na kulia lia kwamba alifanyiwa hujuma na Mkurugenzi wa FBI wakati hiyo si kweli hata kidogo, kilicho muangusha ni kujiamini kupita kiasi na kutoweka maanani maoni grassroot kwenye Swing States, waliendelea ku bank on phantom opinion polls za MSM.
Hillary akija adhalani anajifanya ku concede kushindwa na Trump lakini in privacy yeye na akina Obama na Kerry wanamfanyia hujuma Trump kwa ku instigate viongozi wa Ulaya wajaribu kumtisha tisha Trump kwamba asielewane na Urusi - yaani wamepania siasa zao za masuala ya nje zilizo jaa ugomvi ugomvi na kuhujumu Mataifa mengine, wanataka siasa hizo hatarishi ndiyo ziendelezwe na chama cha TRUMP - wana dharau sana na kujisikia lakini Trump atawakomesha.
Atakuwa anatumia muda mdogo sana kulala, and the rest of the overnight anatumia kwenye social media. Sijui ataendeleza hii akiingia WH officially?
It's going to be long 4 yrs, yaani he's worried about SNL time, his vice getting booed, and what the papers are saying about him. Halafu akikuta something negative anaanzisha bifu. 🙂
Naona Baldwin nae kashindwa kukaa kimya.
"Equal time? Election is over. There is no more equal time," Baldwin tweeted. "Now u try 2 b Pres + ppl respond. That's pretty much it."
Atakuwa anatumia muda mdogo sana kulala, and the rest of the overnight anatumia kwenye social media. Sijui ataendeleza hii akiingia WH officially?
It's going to be long 4 yrs, yaani he's worried about SNL time, his vice getting booed, and what the papers are saying about him. Halafu akikuta something negative anaanzisha bifu. 🙂
Naona Baldwin nae kashindwa kukaa kimya.
"Equal time? Election is over. There is no more equal time," Baldwin tweeted. "Now u try 2 b Pres + ppl respond. That's pretty much it."
Lol! Dongo la kiutu uzima toka kwa Alec Baldwin naona kaamua kuweka gloves pembeni. Mkono kwa mkono. Jamaa anasubiri saa tisa za usiku ili amjibu Alec. Kazi ipo eti Rais mteule anataka equal time kwenye SNL he he he he he he. Kituko baada ya kituko.
Hahah!, eti anasubiria saa tisa usiku ajibu mapigo [emoji2] [emoji28] [emoji28]
May be there's a secret with saa 9 usiku. Labda anaonyesha u tayari for anything, kuwa macho kujibu mapigo at that hour.
Tehe, teh!, hii imenikumbusha hii...
Trump surprised at scope of US president's job say insiders
Donald Trump was apparently surprised at the scope of the president's job when Barack Obama walked him through the role during their White House meeting last week. The president and president-elect met in the Oval Office on Thursday (10 November) the day after the election results were announced.
People familiar with the details of the meeting told the Wall Street Journal (WSJ) that Trump was surprised by the scope of the president's duties when Obama laid them out.
Hmmmm! asije akaona majukumu ni mengi mno mengine akaamua kudelegate ili apate muda wake wa saa tisa za usiku kufanya vitu vyake na kusafiri kati ya New York na DC ili asiwe mbali na crib yake ya mabilioni.
...hehehe!, eti apate muda saa tisa usiku. 😀😀
By the way, talking about his crib, is it true he'll be commuting btn DC and NY?, ili asiache his NY penthouse?
...hehehe!, eti apate muda saa tisa usiku. 😀😀
By the way, talking about his crib, is it true he'll be commuting btn DC and NY?, ili asiache his NY penthouse?
Protecting Donald Trump costs New York City more than $1 million a day
by Chris Isidore, Shimon Prokupecz and David Shortell @CNNMoney November 21, 2016: 3:32 PM ET
Protecting President-elect Donald Trump and his family is costing New York City more than $1 million a day, according to three city officials.
And those costs won't necessarily drop significantly once he moves to the White House.
That's because Melania Trump and their 10-year old son Barron expect to stay at their home at Trump Tower in midtown Manhattan, at least until the end of the school year. And Donald Trump has indicated he plans to return home regularly, especially while they're still here.
Adding to the expense is the cost of police assigned to Trump's adult children and his grandchildren, who are also receiving Secret Service protection, John Miller, NYPD's deputy commissioner of intelligence & counterterrorism, told WCBS Monday. All of them live in the city, and all are entitled to receive Secret Service protection.
"The number one imperative here is safety and security. We owe that to the president elect, his family and his team," said New York Mayor Bill de Blasio at a press conference on Friday. But he added the city will need help with those costs, particularly police overtime.
"This is a very substantial undertaking. It will take substantial resources," he said. "We will begin the conversation with the federal government shortly on reimbursement for the NYPD for some of the costs that we are incurring."
While primary responsibility for the protection of the president, or president-elect, rests with the Secret Service, local law enforcement is charged with assisting them, particularly in controlling movements of the general public.
Protecting Donald Trump costs New York City more than $1 million a day
1mil a day!,..gharama za ulinzi with him in the WH will exceed a couple of the past first families. Obama(2kids) Clinton(1kid) Bushes(2-3kids)
The elect prez ngoma 5 plus wajukuu will need security.
But then, you can't put a price tag over someone's life.
Trump sasa ivi anakula bata Ikulu we unaishia kuposti umbea tu acha upumbavuYes he'll be commuting every now and then but I am not sure of the frequency, but the cost to protect him while in New York are very high and there is a possibility that some of the streets close to that specific location will be closed for at least 4 years.
Trump sasa ivi anakula bata Ikulu we unaishia kuposti umbea tu acha upumbavu