baba pesa baba, hakuna asiependa vitu vizuri, unadhani wanao endesha IST hawapendi BMW? au wanaokaa chumba kimoja wanapenda? kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake ndugu au kila mtu anajikuna mkono mahali unafika.hivi brand kubwa hamzijui au mnajifanya hamnazo? baada ya mwezi utasikia '“”msaada tv yangu imejizima ghafla”!
Hapana mbuzi hali urefu Wa kamba yake,mbuzi anakula kwa huruma ya mchungaji wake....Chukua star X mkuu ipo njemababa pesa baba, hakuna asiependa vitu vizuri, unadhani wanao endesha IST hawapendi BMW? au wanaokaa chumba kimoja wanapenda? kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake ndugu au kila mtu anajikuna mkono mahali unafika.
Asante ochumera kwa kuondoa kamba kwa mbuzi.Hapana mbuzi hali urefu Wa kamba yake,mbuzi anakula kwa huruma ya mchungaji wake....Chukua star X mkuu ipo njema
Ila mbona bei za star x na za brand kubwa hazijapishana sana.?baba pesa baba, hakuna asiependa vitu vizuri, unadhani wanao endesha IST hawapendi BMW? au wanaokaa chumba kimoja wanapenda? kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake ndugu au kila mtu anajikuna mkono mahali unafika.
Ungesema unashngapi ili wakushauri tv nzuri ya kununua kutokana na pesa ulonayobaba pesa baba, hakuna asiependa vitu vizuri, unadhani wanao endesha IST hawapendi BMW? au wanaokaa chumba kimoja wanapenda? kila mbuzi anakula urefu wa kamba yake ndugu au kila mtu anajikuna mkono mahali unafika.
Star x bei gani mkuu unauza hapoNunua Star X mkuu.
Nina uzoefu nazo wa muda mrefu. Na pia mimi ni muuzaji wa TV kwa bei poa kabisa. Nicheki kwa namba hii 0717016789
Kama upo dar tunakuletea bure mpaka ulipo , tunakufungia then unalipa
Karibu sana
390,000 kama utahitaji nicheki kwenye namba yanguStar x bei gani mkuu unauza hapo
Tupo Dar es salaam Posta na branch ingine Kariakoo. Pia tunaweza mtuma mtu akakuletea kama upo Dar then ukampa hiyo helaUnapatikana wapi
Hiyo bei 390 ndio imesimama au inapungua, alafu swala la flat kupiga mstari katikati na kuleta mawimbi baada ya mda lipo vipi kwa tv hizi za star x?Tupo Dar es salaam Posta na branch ingine Kariakoo. Pia tunaweza mtuma mtu akakuletea kama upo Dar then ukampa hiyo hela
Hii ishu hutokea sana kwa samsung na huwa inasababishwa na handling ya tv yenyewe. Nakushauri utakaponunia flat yako hakikisha unaifunga ukutani. Hapo inakuwa salama zaidi. Pia star x na TCL zina vioo vigumu sanaHiyo bei 390 ndio imesimama au inapungua, alafu swala la flat kupiga mstari katikati na kuleta mawimbi baada ya mda lipo vipi kwa tv hizi za star x?
Hiyo 390 inapungua auu?Hii ishu hutokea sana kwa samsung na huwa inasababishwa na handling ya tv yenyewe. Nakushauri utakaponunia flat yako hakikisha unaifunga ukutani. Hapo inakuwa salama zaidi. Pia star x na TCL zina vioo vigumu sana