Abiria wamejazana kwenye basi

mrangi

JF-Expert Member
Feb 19, 2014
80,814
105,992
Kwenye clip hii kuna jambo la kujifunza
Kwa abiria wanaopanda mabasi ya kusafiri mkoani.....
Oneni kilichowakuta abiria Hawa
Kutoka kwa kamanda huyo mwanamama

Ova
 
We acha tu pori ndo lilitusaidia baada ya maelekezo kutoka juu kwa sababu pale tulipo shushwa ni porini na kuna nyoka hatarishi si unajua tena mapori ya Tabora na koboko ni marafiki. Basi hiyo ndo ilikuwa ponapona yetu ila walikua washa tushusha wakatuambia kila mtu atafika sehemu anapo kwenda kwa juhudi zake kwa sababu tumekuwa vichwa vigumu mno hatufati sheria

Tupe dondoo kidogo
Mkuu

Duh aise pole

Ova
 
Kama unaishi ubena au bwawani na umepata dharura unaenda Dar huna namna. utakaa chini tu.
Tusiwe wepesi kuhukumu wakati mazingira ya nchi yetu sote tunatajua
 
Halafu ukifa au kupata tatizo kwenye ajali bima ipi itakufidia?
 
Back
Top Bottom