Abiria wa fastjet: Full ubahili/ujuaji

Abiria wa fastjet: Full ubahili/ujuaji

hao jamaa wa nyanda za juu kusini ni mashauzi tu hata kama hana kitu. KAA NDORO mwenyewe kachemsha kule
 
ulichoandika mleta mada ni uongoooo...kwanza tuache na maparachichi yetu
 
Hivi wadau naombeni kujuzwa kwenye ndege mtu unatakiwa kusafiri na mzigo usiozidi Kg ngapi......?
 
haha nikiwa mbeya huwa nasikia watu maparachichi wanayaita matakapela.... sasa sijui ni lugha gani hiyo
 
hahahahaaaa...ndio hayo hayoooo ila sijajua origin ya hilo neno kwa kweli, nisiongope
 
Hivi wadau naombeni kujuzwa kwenye ndege mtu unatakiwa kusafiri na mzigo usiozidi Kg ngapi......?

within Tz 20kgs, outside 40kgs...alafu fasjet pale pa check in wengine wajinga kweli, kuna binamu yangu aliuliza swali kuhusu kgs hvyo hivyo akaambiwa eti hutakiwi kubeba mzigo mzito cause ndege lazima i-balance, ha ha haaaaa..uwiiii...yani bado kidogo amuanzie kumshushia maswali, ni kwamba foleni ilikuwa ndefu, watu walikuwa wengi nyuma yake..khaaa..watu kufanya kazi airlines basi wanaona kama they know everything about planes, kha!
 
International......economy 23........business 35......first class 40.............nadhani.......
 
fastjet ni max. 20kgs check-in luggage sema wana extra/weighty luggage mpaka 80kgs unalipiwa kiasi kidogo cha fedha
 
wasafir wa mwanza ndo kiboko kwa ushamba full mipicho na kusababisha folen zisizo na msingi
 
International......economy 23........business 35......first class 40.............nadhani.......

Inategemea na ndege dia ila nyingi economy ni 2pcs na kilo ni kuanzia 35.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom