Abiria m-baguzi

Hao watu wanatuonea tu wivu na ngozi zetu na rangi nawanajua kwa hakika hawawezi kuipata
 
Hii story nilishawahi kuisoma mahali fulani mwaka Jana au juzi na lilitokea nadhani ulaya au marekani... inawezekana mleta mada naye kaisoma kama mimi..
 
Kwa hiyo kipi kiliwafrahisha nyie wengine? mtu kwenda daraja la kwanza au bibi kufanikiwa lengo lake la kukaa mwenyewe?

Kudhalilishwa kwa kibibi. You can't change them all, but feel free to ridicule them!
 
Lakini, Kama umebuni waraka huu, basi jihesabu ya kuwa wewe ni mchochezi namba moja wa ubaguzi Duniani.

Mkuu mbona unaniangushia vishoka? Uchochezi upo wapi hapo? Au unapinga kisiri siri kama ubaguzi wa kijinsia ni myth?
 
Huyo mama mzungu hakuvaa t-shirt ya sifiemu kweli?
 
Ha ha ha ha. Nimecheka sana baada ya kukisoma hiki kisa.

Kilichonifanya kucheka ni ww kujifanya ili tukio umelishuhudia ukiwa safarini,ilhali kuna video clip ya zamani kidogo inayoonesha ili tukio.

Anyway thnks for reminding me that clip.
 
Safi sanaa,huyo mbaguzi hata sahau aibu hiyo aliyoipata maishani mwake.
 
Hii story nilishawahi kuisoma mahali fulani mwaka Jana au juzi na lilitokea nadhani ulaya au marekani... inawezekana mleta mada naye kaisoma kama mimi..
Ina video kabisa.. nafikiri mtoa mada ameitoa huko.

Ina video kabisa.. nafikiri mtoa mada ameitoa huko.

Aaah mkuu Mr Party pooper... kwani hukuniona pale nyuma kwenye seat number 18C nimejiinamia kwenye kitabu changu? Au unataka nawe upandishwe first class? 😛
 
Hii story nilishawahi kuisoma mahali fulani mwaka Jana au juzi na lilitokea nadhani ulaya au marekani... inawezekana mleta mada naye kaisoma kama mimi..
Mleta mada ni mwongo,hili tangazo linalopinga ubaguzi lilirushwa na TV flani majuu
 
Ubaguzi upo mkuu. Upo kupita huu. Tembea uone... ila tuombe mungu ukuepuke maana sio jambo la kufurahisha
Najua ubaguzi upo sana tuu ila nimekuuliza ni kweli au ni stori Mkuu
 
Kuna kitu cha kujifunza hapa,sio mnashangilia tu....Kama bibi anafanya haya hao wajukuu zake huko home vp?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…