Asubuhi ya leo nimesoma 1Samweli 25 yote, inahusu kisa cha Nabali mume wa Abigael ambaye alimwombea msamaha mumewake kwa Daudi, isingekua yule mama kwenda kumpigia magoti Daudi wote wangefutiliwa mbali kwa upanga, hakika mwanamke mwema anajenga nyumba kwa busara na matendo. Nimejifunza kitu kwa huyu mama wa Chunya na kwa Abigael