Abdurazak Hamza aache uoga na aache kujivunja

Foffana

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2022
Posts
2,687
Reaction score
4,386
Halafu ndo naona kuna watu wanasema ndo beki bora kwa sasa wengine wakianza kumlinganisha na Dickson Job ama Ibra Bacca

Humu hamna kazi hastahili kuanza katika kikosi cha Simba ni muoga sana wa mechi zenye presha kubwa huwa ana kawaida ya kujivunja (yaani kujifanya kaumia ili atolewe)

Alianza hivyo na Young Africans ile iloisha 1-0 hata ya marudiano ambayo haikuchezwa siku chache kabla ya game akazuga kuumia ili asiwepo katika derby akarudia tena mechi ya Constantine na sasa amelirudia tena na RS Berkane na mechi ya marudiano hatokuwepo😅😅 lazima atakimbia

Aisee mnamkosea sana Dickson Job kumlinganisha na huyu askari muoga

Hamza achaga kujivunja Dogo hii tabia uiache kabisaa tumekustukia😅😅
1747522428359.jpg
 
Halafu ndo naona kuna watu wanasema ndo beki bora kwa sasa wengine wakianza kumlinganisha na Dickson Job ama Ibra Bacca

Humu hamna kazi hastahili kuanza katika kikosi cha Simba ni muoga sana wa mechi zenye presha kubwa huwa ana kawaida ya kujivunja (yaani kujifanya kaumia ili atolewe)

Alianza hivyo na Young Africans ile iloisha 1-0 hata ya marudiano ambayo haikuchezwa siku chache kabla ya game akazuga kuumia ili asiwepo katika derby akarudia tena mechi ya Constantine na sasa amelirudia tena na RS Berkane na mechi ya marudiano hatokuwepo😅😅 lazima atakimbia

Aisee mnamkosea sana Dickson Job kumlinganisha na huyu askari muoga

Hamza achaga kujivunja Dogo hii tabia uiache kabisaa tumekustukia😅😅View attachment 3337695
Mpelekeni mbeya city kwa mkopo. Au mpeni thank you
 
Ni mchezaji mzuri sana ila nakubaliana na wewe ana tabia ya kujivunja makusudi kukwepa fedhea na lawama!!. Hajawa mchezaji tegemewa wa mechi ngumu na za maaamzi. Kifupi ni muongomuongo na vimechi vyake vya kawaida.
 
Yupo slow halafu game ilikua speed mno .....binafsi simlaumu kuliko angesubiri tufungwe 5 ndo atoke .....kubwa imefungwa as Team.....kosa pia halikuanzia kwake ....kutoka au kutookoa ni 50/50 kwa kosa ambalo limetokea mbele yako.....

Kwa level yake ,mpinzani anaecheza nae, exposure yake, Experience yake kwenye michuano hii, Timu alizocheza ....so far kwangu ameonyesha kitu .......plus Kagoma pia....
 
Hii mechi alishajitathmini hakuwa anaiweza, spidi ni kubwa na mabeki wa kati wa Simba wote wazito.
Angeendelea kucheza uku amepoteza kujiamini angekua anazidisha makosa.
Ata Mechi inayo fuata asicheze kwakua tathmini ya ubongo wake imesha mwambia awa jamaa Wana Kasi na uwezo kuliko yeye.
 
Back
Top Bottom