GE2025 Abdulrahman: Hakuna Vyama Pinzani Bali kuna Taasisi za watu

GE2025 Abdulrahman: Hakuna Vyama Pinzani Bali kuna Taasisi za watu

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
505
Reaction score
887
Aliyewahi kuwa Katibu wa CUF Mkoa wa Tanga Abdulrahman Hassan Amesema Chama cha Mapinduzi CCM, ndio chama pekee kinachoweza kuleta maendeleo nchini Tanzania huku akielezea historia yake na Vyama vya siasa vya upinzani Nchini

Amesema hayo leo Oktoba 8, 2025 katika mkutano wa kumnadi mgombea udiwani wa kata ya Kariakoo Ndugu Haji Sunday Manara na kuongeza kuwa Tanzania Hakuna Vyama Pinzani Bali kuna Taasisi za watu na kueleza kuwa vyama pinzani vilianzishwa kama mabadiliko ndani ya CCM hayatotokea.

 
Back
Top Bottom