'Abdul wa Mama' iko siku atakimbia nchi!

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
9,293
Reaction score
13,955
Maisha ni mabadiliko kwasasa watapiga kila deal za pesa

Lakini hawa viongozi wajue iko siku wataondoka na watoto wao watatiwa hatiani i

Huyu dogo ataishia kukimbia Dubai au Oman. Tutaonantu
 
Hapana hawezi kukimbia nchi mana nchi yetu haipo kwenye misingi hiyo, atleast viongozi wastaafu wangekuwa wanaweza kushtakiwa kwa makosa yao ya nyuma ndo nngekuunga mkono, hvy kama mzazi wako ambaye hawezi kushtakiwa kwa makosa yake bc hata ww mtoto huwezi kuwa na hofu.
 
Hawa ni pigo kama za Bukinafaso wanapokonywa kila kitu kwa nguvu bila kufuata sheria
 
Back
Top Bottom