Abu Haarith
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 314
- 165
habari wakuu wa JF kama kichwa kinavyojieleza hapo huo wimbo unaitwa ASU umeimbwa na band Inaitwa BABLOOM nimejaribu kutafuta mitandaoni nimeukosa mwenye nao anisaidie tafadhali
natanguliza shukrani
shukrani kwa kunirejesha kwenye mstari nisaidie kama unaoAliyeimba ni misambano naye bado kijana, utasemaje wa zamani mno
Ukifika Lumumba watakupashukrani kwa kunirejesha kwenye mstari nisaidie kama unao
kivipi mi nipo arushaUkifika Lumumba watakupa
Hata mimi nipo katavi omba rubii akusaidie akiweza maana yeye mtoto ya mujini na namwamini sanakivipi mi nipo arusha
Sasa huo wa zamani sema umepigwa chini unataka umtumie akusameheshukrani kwa kunirejesha kwenye mstari nisaidie kama unao
shukrani mkuu