Abductions and killings in Kenya: National Intelligence Services (NIS) implicated

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,230
Reaction score
96,372
1. Ruto aKasema waliotekwa wote watapatikana, na wakapatikana wote
2. Muthuli anasema NIS inahusika kumteka mtoto wake na baadaye akapatikana
3. Activisits call upon Ruto to reveal abductors wakiamini anawajua

Who is Muthuli?
Justin Bedan Njoka Muturi is a former Attorney General of Kenya who served as the seventh Speaker of the National Assembly of Kenya from 2013 to 2022. He is the first speaker to serve following the reestablishment of a bicameral Parliament by the 2010 Constitution

NOTE: Mutuli alikuwa serikalini, tena nafasi ya juu sana, anajua kinachoendela maana alikuwa anakaa jikoni!

TUJE KWETU

1. Nani anateka watu na kuwaua/kuwapoteza?
2. Scenario ya Kwenya swa na ya kwetu

WHAT MIGHT BE THE LOGICAL DEDUCTION FROM THE ABOVE NARRATION?
 
Pamoja na katiba mpya, pamoja na kubadilisha uongozi lakini Kenya as our roll model, abduction ni kubwa mno kulinganisha ni sisi ambao tunaelekea huko polepole, question is Je mfumo huo kwa dhati kabisa utatufaa sisi, ukizingatia hakuna tunachoweza kuiga!
N. B, Huyo kipenzi chao kwa sasa wanamuita - kasongo - na wanaona hawafai, wakati walimchagua kwa kura nyingi kwa jazba ya kukikomoa chama kilichokuwepo awali, stupity at highest! / tusonge Huku tukijifunzia kwa jirani.
 
si kweli

kenya press ni free wanaripoti vitu kama vinvyotokea

kwetu press imekuwa captured, hawawezi hata kutipoti vtu vonavyotokea

Legacy Media is Dead
 
Pamoja na katiba mpya, pamoja na kubadilisha uongozi lakini Kenya as our roll model, abduction ni kubwa mno kulinganisha ni sisi ambao tunaelekea huko polepole, question is Je mfumo huo kwa dhati kabisa utatufaa sisi, ukizingatia hakuna tunachoweza kuiga!
N. B, Huyo kipenzi chao kwa sasa wanamuita - kasongo - na wanaona hawafai, wakati walimchagua kwa kura nyingi kwa jazba ya kukikomoa chama kilichokuwepo awali, stupity at highest! / tusonge Huku tukijifunzia kwa jirani.
Unataka uhalalishe nini hapo kwa kutumia akili za "kakono" kufuta kamasi shavuni?
 
si kweli

kenya press ni free wanaripoti vitu kama vinvyotokea

kwetu press imekuw acaptured, hawawezi hata kutipoti vtu vonavyotokea

Legacy Media is Dead
Screenshot_2025-05-15-09-47-31.png
 
Katika tawala hizi za Kiafrika, ipo hivi, "" mwenye maneno matamu sana ya gilba kuwachota akili wajinga kwa utamu wa lugha na wingi wa matarajio mazuri ndiyo mshindi wa urais""""
 
Back
Top Bottom