Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,436
- 5,234
Abdallah Nyaligwa, leo Juni 30,2025 amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuwania Ubunge wa Jimbo Jipya la Itwangi, ambalo limegawanywa kutoka Jimbo la Solwa.
Itategemea , Mkuu now money run the gameNitawashangaa Wana Itwagi kumuacha kijana wa nyumbani Lugeye Jr na kumpa mpita njia wa uingereza
Dah! Mwanangu Lugeye sijui itakuwaje?, Ngoja tuone yajayoItategemea , Mkuu now money run the game
Huyo jamaa wa BBC hela anatoa ?Dah! Mwanangu Lugeye sijui itakuwaje?, Ngoja tuone yajayo