Abdallah Bulembo ashtakiwe ICC

Abdallah Bulembo ashtakiwe ICC

Bulembo hata ICC ataongea nini darasa la saba huyo!

Mbona ndio jembe la ccm majukwaani? Hapo nadhani mwenye mtindio ni yule anayempandisha jukwaani akimuona ni bora wakati uwezo wake ndio huo. Ni sawa na mwendesha bajaj umpe bus lenye abiria aendeshe unadhani akiua atalaumiwa nani?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom