Abarikiwe aliyemleta Rais Samia Duniani

Ndio maana nikasema wewe umeonekana utateuliwa,
 
Umerudia
 
Hapana Mimi Sina njaa maana ninajilimia chakula kwa mikono yangu na siyo kwenda kupima unga madukani
Yaani ukimkubali Kiongozi alie madarakani unaambiwa una njaa.. Tanzania hiyo njaa ipo wapi mahindi ya kuchoma yanauzwa Tsh 500 nyanya wanauza kwa Sado hizo Samaki zinauzwa kwa mafungu hapo soko la Kilombero ,Arusha...
 
Yaani ukimkubali Kiongozi alie madarakani unaambiwa una njaa.. Tanzania hiyo njaa ipo wapi mahindi ya kuchoma yanauzwa Tsh 500 nyanya wanauza kwa Sado hizo Samaki zinauzwa kwa mafungu hapo soko la Kilombero ,Arusha...
Wameshapagawa na kuchanganyikiwa na upepo mkali wa Rais Samia unao endelea kuvuma kila Kona ambapo watanzania wanaendelea kumuunga mkono mh Rais wetu
 
Mjinga wewe ashakumu sio matusi! Kasome tena kichwa Cha Uzi wako na ulichoandika na uangalie nilichoandika!

Unaposema abarikiwe aliyemleta Samia Duniani moja kwa moja unamrejea Mungu muumba wa vitu vyote ikiwemo wewe na ujinga wako uliokithiri!

Ilikushinda Nini kuandika abarikiwe aliyemzaa Samia?

Mwenye uwezo wa kumleta mtu duniani Ni Mungu Tu na sio vinginevyo! Uwe unajishauri Mara nyingi unapoandika hizi ngonjera zako ambazo zimejaa nadharia tu na hakuna practical Wala tangible issues.

Vinginevyo utakua unakufuru Mungu. Na Mungu wetu Ni Mungu mwenye wivu Sana! Hakuna kiumbe chochote juu ya nchi au Mbingu kinachoweza kumbariki Mungu Mana yeye ndiye atiaye baraka zake!

Usisahau Kuna watu walimtaka Mungu amshukuru Jiwe kwa kuiondoa Korona Tanzania (Afande Shana) unajua aliko Sasa na wengi wanaofanana na hayo!

Kama wewe Ni Mkristo kasome biblia hata Yesu alionekana champion lakini Kuna watu waliogopa kukufuru kupitia yeye;
Kasome:

Lk 11:27 SUV​

Ikawa alipokuwa akisema maneno hayo, mwanamke mmoja katika mkutano alipaza sauti yake, akamwambia, Heri tumbo lililokuzaa, na matiti uliyonyonya.

Yesu akamjibu heri yao wanaosikia neno langu na kulishika

Sasa wewe kilaza unaona kabisa umekosea bado unashupaza shingo!
Eti abarikiwe aliyemleta Samia Duniani! Serious?
 
Ongezea na email address
 
Bwashee umemsahau aliyemteua kuwa makamu wake, bila huyo hayo yote uliyoyasema asingeyafanya.
Central committee ya CCM ndio inayoteau mgombea mwenza.
Mgombea Urais anapewa jukumu la kutangaza tu hana utashi. Na kama kumbukumbu zangu ziko vizuri ile 2015 hata hilo jukumu la kutangaza hakupewa, walimuona chizi maarifa na ilivyokuwa Kanda anayotokea wasivyo wathamini wanawake wakaona anaweza kumtangaza mtu mwengine kabisa.
 
Sijamaliza kusoma, ila niseme una hoja USIKILIZWE na ULIPWE kabisa. Hili Pambio sijawahi kuliona tangu dunia iumbwe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…