Hili ndilo tatizo! Ukifuata taratibu zote, nyumba unaijenga mara moja na nusu. Namaanisha kama gharama za Ujenzi ni million 100, itakugharimu million 150! Hapa TZ tunauana tuYep kuna fee pia hua inahitajika sasa calculations zake nadhani zinatokana na ukubwa wa site