Aambulia aibu ya kufunga mwaka

Aambulia aibu ya kufunga mwaka

Kama kuna watu wasiojielewa basi huyo jamaa mwenye mke anayechepuka ni miongoni mwao
Huyu jamaa ndezi kweli kwa wema wote aliotendewa jamaa kaishia kutukanwa, kweli nimefedheheshwa sana huyu mwanaume mwenzetu maana ujinga alionao mama anaweza kumleta mchepuko ndani naye akiambiwa tupishe tuna maongezi atakubali.
 
Back
Top Bottom