Aambulia aibu ya kufunga mwaka

Aambulia aibu ya kufunga mwaka

Idhae

JF-Expert Member
Joined
Aug 6, 2014
Posts
609
Reaction score
277
Jamaa aliona shemeji yake anachepuka, akaamua amtonye kaka yake(lakini sio wa mama/baba mmoja). Akamshauri kaka yake waweke mtego ili wamkamate live na huyo mwizi wa vitu vya wenzao.

Matokeo yake jamaa kaenda kamsimulia mkewe na kumwambia nduguye ndiye kamtonya.

Sasa shemeji kamdamkia shemejie leo asubuhi kamtukana vibaya matusi mengine hayafai kuandika ila miongoni mwao kamwambia shemejiye kwa sasa avae SKET, GAUNI, KANGA AU DELA kwani ni mbea kama mwanamke.

Jamaa leo hana raha, weekend yake mbaya kabisa wema umemponza.

Kwa wale mnaojua michepuko ya mashemeji zenu, kuweni makini kutoa infomation msije aibika.
 
Huo ni ujinga wa huyo mwanaume alieambiwa.

Huyo mwanamke atakua anampeleka peleka huyo mwanaume.

Akiwa ndg yangu namnyamazia ila hata nisikie wanataka kumuua simwambii.
 
Kapewa limbwata huyo co bure! yani unaambiwa mkeo anachepuka unaenda kumwambia mpk aliekwambia looooh!
 
Nahisi kama aibu yako hiii........ bora umekuja kujipoza mmu pole wweee! ndo ukome kuingilia mahaba ya wenyewe
 
Ndiyo mambo yenyew ya ma lovee haya
 
Nahisi kama aibu yako hiii........ bora umekuja kujipoza mmu pole wweee! ndo ukome kuingilia mahaba ya wenyewe

Ningekuwa mimi ningeweza hata kufungua jf leo?
Huyo bwana alivyo na mawazo, laiti ungemuona ungemhurumia
 
Kapewa limbwata huyo co bure! yani unaambiwa mkeo anachepuka unaenda kumwambia mpk aliekwambia looooh!

Kama kweli ni limbwata, basi ni hatari.
Hivi mwanaume unaweza kujikinga limbwata lisikupate?
 
Ningekuwa mimi ningeweza hata kufungua jf leo?
Huyo bwana alivyo na mawazo, laiti ungemuona ungemhurumia

Si umekuja kupooza machungu huku..... chezea mmu hii ni stress free!!!!!!!
Afu dhambi ya kusingizia mwenzio inakutafuna tubu kabla mwaka haujaisha
 
Huyo jamaa mjinga sana ....kesho hawezi kupata msaada hata wa kumnasua na mtego.
 
Huyo jamaa ni mshamba wa papuchi au mkewe anampa ndogo ndio maana kawa zoba kwake..
 
Hayo mambo yalifanya tuishie kuvunja undugu na kaka angu, ukimwambia kitu kuhusu mkewe anampelekea hivyo hivyo. Baada ya kumkuta alirudi kuomba msamaha na machozi juu.
 
Umbea wote umemuisha!
Ya wawili hayaingiliwi!!!
 
Back
Top Bottom