Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 May 1, 2012 #41 Amyner said: Bishanga mwenzio naungana na canta kwenye huzuni ya kufungwa Man U.. Click to expand... Heee pole sana Cantalisia na pia pole Amyner....hamieni Chelsea Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Amyner said: Bishanga mwenzio naungana na canta kwenye huzuni ya kufungwa Man U.. Click to expand... Heee pole sana Cantalisia na pia pole Amyner....hamieni Chelsea
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,104 Reaction score 136,768 May 1, 2012 Thread starter #42 Amyner said: Mmh...! Ngabu msalimie babu jinga. Click to expand... Bishanga unasalimiwa na Amy...
Cantalisia JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 5,221 Reaction score 2,930 May 2, 2012 #43 Erickb52 said: Heee pole sana Cantalisia na pia pole Amyner....hamieni Chelsea Click to expand... Asante Erick, kuhamia chelsea ni ngumu sana ni km kuhama kabila, Mie ni man u 4life hata ikishuka daraja nitaipenda tu!
Erickb52 said: Heee pole sana Cantalisia na pia pole Amyner....hamieni Chelsea Click to expand... Asante Erick, kuhamia chelsea ni ngumu sana ni km kuhama kabila, Mie ni man u 4life hata ikishuka daraja nitaipenda tu!
Cantalisia JF-Expert Member Joined Sep 26, 2011 Posts 5,221 Reaction score 2,930 May 2, 2012 #44 Bishanga said: Unasema? Mpe Cantalisia pole,mwambie mansite wako ddddjjjuuuu!!! Click to expand... Mie nshapoa japo hatujakata tamaa ya kutwaa ubingwa maana lolote la weza tokea kwa mechi zilizobaki!
Bishanga said: Unasema? Mpe Cantalisia pole,mwambie mansite wako ddddjjjuuuu!!! Click to expand... Mie nshapoa japo hatujakata tamaa ya kutwaa ubingwa maana lolote la weza tokea kwa mechi zilizobaki!
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 May 2, 2012 #45 Amyner said: Bishanga mwenzio naungana na canta kwenye huzuni ya kufungwa Man U.. Click to expand... kwa nini unashabikia timu mpofu mpofu?
Amyner said: Bishanga mwenzio naungana na canta kwenye huzuni ya kufungwa Man U.. Click to expand... kwa nini unashabikia timu mpofu mpofu?
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 May 2, 2012 #46 Nyani Ngabu said: Bishanga unasalimiwa na Amy... Click to expand... mbona niko naye hapa? au unataka kujimuvuzisha na anga hizi? lol!
Nyani Ngabu said: Bishanga unasalimiwa na Amy... Click to expand... mbona niko naye hapa? au unataka kujimuvuzisha na anga hizi? lol!
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,077 May 2, 2012 #47 Cantalisia said: Mie nshapoa japo hatujakata tamaa ya kutwaa ubingwa maana lolote la weza tokea kwa mechi zilizobaki! Click to expand... yale yaleeeee ya fisi na mlevi,alidhania mkono utadodondoka........
Cantalisia said: Mie nshapoa japo hatujakata tamaa ya kutwaa ubingwa maana lolote la weza tokea kwa mechi zilizobaki! Click to expand... yale yaleeeee ya fisi na mlevi,alidhania mkono utadodondoka........
Amyner JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 2,396 Reaction score 882 May 2, 2012 #48 Cantalisia said: Asante Erick, kuhamia chelsea ni ngumu sana ni km kuhama kabila, Mie ni man u 4life hata ikishuka daraja nitaipenda tu! Click to expand... Kweli kabisa mwaya.. Tena tunavaa jezi proudly! Miss u Cantalisia dear. Shem Rejao ndo hakupi hata ruhusa ya kutembelea shosti zako? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Cantalisia said: Asante Erick, kuhamia chelsea ni ngumu sana ni km kuhama kabila, Mie ni man u 4life hata ikishuka daraja nitaipenda tu! Click to expand... Kweli kabisa mwaya.. Tena tunavaa jezi proudly! Miss u Cantalisia dear. Shem Rejao ndo hakupi hata ruhusa ya kutembelea shosti zako?
Amyner JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 2,396 Reaction score 882 May 2, 2012 #49 Bishanga said: kwa nini unashabikia timu mpofu mpofu? Click to expand... We unashabikia team gani kwani?
Bishanga said: kwa nini unashabikia timu mpofu mpofu? Click to expand... We unashabikia team gani kwani?
Amyner JF-Expert Member Joined Jul 13, 2011 Posts 2,396 Reaction score 882 May 2, 2012 #50 Nyani Ngabu said: Bishanga unasalimiwa na Amy... Click to expand... Naona title kaikubali.
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 May 2, 2012 #51 Cantalisia said: Asante Erick, kuhamia chelsea ni ngumu sana ni km kuhama kabila, Mie ni man u 4life hata ikishuka daraja nitaipenda tu! Click to expand... Cantalisia umenifurahisha sana lol huko Man u pameshanuka mtahama tu Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Cantalisia said: Asante Erick, kuhamia chelsea ni ngumu sana ni km kuhama kabila, Mie ni man u 4life hata ikishuka daraja nitaipenda tu! Click to expand... Cantalisia umenifurahisha sana lol huko Man u pameshanuka mtahama tu
Erickb52 JF-Expert Member Joined Oct 31, 2010 Posts 18,554 Reaction score 11,485 May 2, 2012 #52 Amyner said: Kweli kabisa mwaya.. Tena tunavaa jezi proudly! Miss u Cantalisia dear. Shem Rejao ndo hakupi hata ruhusa ya kutembelea shosti zako? Click to expand... Amyner mbona unanipa kazi sana ya kukufariji coz ukiwa Man U kila siku utakuwa na huzuni ya kufungwa.... Ila sio shida ile jezi yangu ya The blues uliyoivaa siku ile nakuachia iwe yako.... Sawa mpenzi wangu eeh Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Amyner said: Kweli kabisa mwaya.. Tena tunavaa jezi proudly! Miss u Cantalisia dear. Shem Rejao ndo hakupi hata ruhusa ya kutembelea shosti zako? Click to expand... Amyner mbona unanipa kazi sana ya kukufariji coz ukiwa Man U kila siku utakuwa na huzuni ya kufungwa.... Ila sio shida ile jezi yangu ya The blues uliyoivaa siku ile nakuachia iwe yako.... Sawa mpenzi wangu eeh
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,226 May 2, 2012 #53 He he he, na ujumbe umemfika hadi mifupani.