Aajali nyingine Morogoro, Mikese, majeruhi 70

fangfangjt

JF-Expert Member
Apr 25, 2008
571
139
bus la champion laigonga bus dogo liliokua limepaki barabarani, na kupinduka. Watu 70 wajeruhiwa
Dereva wa bus amekamatwa
 
sasa nao hawa wanamkamata dereva kafanya nini? aaah poleni majeruhi bana
 
poleni majeruhi, mungu awaponeshe upesi. Je majeruhi wamepelekwa wapi?? hali yao generally??
 
Poleni majeruhi, yaani amegonga gari lililokuwa limepaki, au alikuwa mafuta sana na kushindwa kumiliki basi...
 
kila siku ajali,au ni kwa sababu ya leseni mpya,madereva wa taxi wanajisajili kuendesha mabasi?mwaka huu watatumaliza afu hakuna kikombe cha ajali kwa babu,hebu usalama barabarani wafanye kazi au na wao wanasubiri kuvuliwa gamba?
POLENI SANA NDUGU ZETU,MUNGU AWAPONYE HARAKA.
 
Mungu waponye majeruhi kwa upesi. Mungu azidi kutulinda na kutuepusha na majanga! Mungu ibariki Tanganyika, Mungu ibariki Zanzibar! Amen!
 
Utasikia ooh Chenge kaua, Chenge kaua, haya sasa , hao MADEREva wana walemaza wananchi na kuwaua kila siku na watu hawala lalamiki.
 
Rama mla watu kahamia mkoa wa Morogoro.
Poleni majeruhi wote. Mungu wetu ndiye mponya wetu, naye atawaponya soon.
 
Poleni majeruhi. Mungu awasaidie mpone mapema na mwendelee na kazi zenu za kila mara.
Jamani tukumbuke kusali kabla ya safari kuanza kwani ndo tu silaha yenye nguvu sana kwa binadamu wote ulimwenguni.
 
Back
Top Bottom