Aagiza anointing water akutana na perfume frm lqgos via fedex

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,149
Aah so sad jamani kadada changu cha kiroho huko Uganda kalikuja Dar kakanunua annointing water,
baada ya wiki nne yakaisha, aseme agoogle akawasiliana na ofisi za TB Joshua wakamhakikishia ziko, and the way voa fedex, kaenda kuchukua anapuliza loh anakutana na perfume inakaa si mchezo badala ya annointingwater. Muwe mnanunua nchini kwenu hizo za kuagiza kuna, mengi katikati mpaka ikufikie.

Mungu awabariki.
 
Attachments

  • IMG-20141130-WA0014.jpg
    IMG-20141130-WA0014.jpg
    81.5 KB · Views: 748
  • IMG-20141130-WA0010.jpg
    IMG-20141130-WA0010.jpg
    90.3 KB · Views: 661
  • IMG-20141130-WA0013.jpg
    IMG-20141130-WA0013.jpg
    115.4 KB · Views: 609
Aah so sad jamani kadada changu cha kiroho huko Uganda kalikuja Dar kakanunua annointing water,
baada ya wiki nne yakaisha, aseme agoogle akawasiliana na ofisi za TB Joshua wakamhakikishia ziko, and the way voa fedex, kaenda kuchukua anapuliza loh anakutana na perfume inakaa si mchezo badala ya annointingwater. Muwe mnanunua nchini kwenu hizo za kuagiza kuna, mengi katikati mpaka ikufikie.

Mungu awabariki.

Mkuu pale mjengoni vipi! haiwezi saidia kuwabadilisha akina ESCROW wawe na huruma kidogo waache kukandamiza jasho letu???
 
Ok! Basi sawa!

Nilidhani wamemtapeli, kumbe wamemtumia mzigo.

Mwambie asiwe na Imani haba, aiombee hiyo perfume na yenyewe Itakuwa ya baraka pia.
 
Hahaaaa mwakibete umeniachahoiiikabisaaa
Usahuri kuzingatiwa
 
Back
Top Bottom