Aaahh halo ya ngeleja uo uo

Aaahh halo ya ngeleja uo uo

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,656
Reaction score
37,824
Pengine huyu baba ni katika viongpozi watakaochukua muda kusahaulika kwa kuweka jiji letu gizan
jana nilikuw akwenye sherehe sasa ilipofika saa tatu nahisi ile mambo yetu ikawa zamu yao watu wakawa
wamejipanga kwenda kuchukua vyakula..kwanza nampongeza meneja wa shuguli unajua siku hizi
kama unajua una msosi mchache wajaze watu wanywe walewe walai unarudi na chakula chako nyumban..mc alijitahdi sana kila saa watu wanapitishiwa round nikasxema nini leo atuli..sasa basi bahati niliamua kwenda kumchukulia mama didy
mlo wake nikiwa na rudi umeme ukakatika

wamama wamejipaka marangi ya kufa mtu na nguo za matanio wako kwenye upande wa pili wakapiga halooo
ya ngeeleejaaaaaaaa wengine wakajibu uo uo uo uo uo mmmmmmwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaahhhhhh
gafla jenereta likawaka umeme wetu wa kukodi ukarudi

sidhan kama huyu baba atasameheka kwa kweli mpaka kuitwa shugulini ya watuwengi vile embu jirekebishe mzeekijana weye
 
Back
Top Bottom