Aaah,wamekata

Wamentumia sms,wamekata imeishia hewan
 
hivi kwani humu jamvini hakuna msanii, mbona hi track inaonekana kali sana ikiandikiwa mstari ya kutosha..... ahahahahahah
 
hivi kwani humu jamvini hakuna msanii, mbona hi track inaonekana kali sana ikiandikiwa mstari ya kutosha..... ahahahahahah

Mi nlikua ndio naandika but Tigo MB zao wamekata!!!
 
Nilikuwa na appointment na nyumba ndogo nikamtumia buku mbili achukue boda boda wamekataaa!
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…