kwi! kwi! kwi! Watu wamechakaa wamekuwa kama avatar ya Ritz huku wakiwa bado miaka wana 20 ndio imeongezeka hivyo? au labda anavyokutana na vijana waliochakaa sura baada ya kutudanganya maisha bora kila mtanzania anafikiri wana miaka 55 kumbe hata 15 hawajafikishajana kasema kikwete kasababisha wastani wa kuishi uongezeke(50-55)...
Ni kweli mkuu kilikuwa na kanzuVizee vya CUF huwa vina mizengwe sana huyo babu lazima atakuwa mmoja wao! :happy:
nasubiri ribosome aje
Ni kweli Mkuu Az 89 kwenye avatar kavaa linguo la kijani inaelekea kaliazima kwa fisadi baba yake Ana mwili mkubwa kwasababu ya kula burger kisukari kipo njianikweh! Kweh! Precise Pangolin...Lemutuz anaikumbatia CCM Wakati Nyerere alisema sio mama yake anaweza kuihama!
Ni kweli Mkuu Az 89 kwenye avatar kavaa linguo la kijani inaelekea kaliazima kwa fisadi baba yake Ana mwili mkubwa kwasababu ya kula burger kisukari kipo njiani
Ni kweli Mkuu Az 89 kwenye avatar kavaa linguo la kijani inaelekea kaliazima kwa fisadi baba yake Ana mwili mkubwa kwasababu ya kula burger kisukari kipo njiani