Aaaaagh………..Mimi sasa uzalendo utanishinda!

Mtambuzi ...... Kesha kusikia......... Hasa kwa dua zilizochapwa ajili hiyo....... Ustahmilivu ni hulka ya mwanamume kamili ....... Kuwa na subira na atarudi haraka.

Vishawishi ni vingi....... Lakini hamna usichoweza kujikinga nacho. Kuwa na subira haraka atarudi.
 
mmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! NGASHTUKA MACHALELE KUNDESA..............................!!!!!!!!!!!!!! LOH!!!!!!!!!!!!
 
Wee I am a chair usikae kwenye kikao na mzee wako...lol mwache ajitafutie mapoozeo

Natafuta ule uzi wa kukupaisha. Jana nilipanda trekta kwenda Kisongo nikashindwa kuchangia...
akitafuta mapoozeo atanogewa bure bora nusu shari kuliko shari zima.
 
Mkuu angalia mama ngina akirudi asije kupima ujazo wa naniliu akakuta hamna kitu.... Ndipo utakapokuwa mdogo kama piriton@mia
Nitamwambia kuwa nilikuwa napata wet dream kwa kumuwaza usiku kucha na ndio maana ujazo wa kikombe umepungua.....................ataelewa tu somo
 
Ndugu yangu hii ya sasa wala co ya kupeleka polic wala kwa mjumbe,hapa tunahiji maombi tu maana km ni hila zimeshapitiliza haya ni mapepo!huna mchungaji wa ukweli atakaeweza kudeal na hili tatizo?maana kitakachofata ni aibu tu hapa jaman lol!

Dingi yenu bana......yaani wiki 3 tu keshakuwa taabani!!! Huyu ameshakuwa sugu hata akiombewa haponi, bora tu mumfate mama ngina aje la sivyo atarudia tena enzi zake za kwenda cinema kusarandia majimama!!! Lol
 
wiki 3 tu hizo unatupigia kelele sie....we mbona unapendaga sana ku.......:alien::alien:
 
Back
Top Bottom