penda **** wewe?like your avatar I see
mwana JF mwenzangu mm hili linanipa kichefuchefu, utakuta mtu yuko kwenye daladala (au sehemu yoyote ya hadhara) anaachama mdomo, anaanza kuchokoa meno, kutoa nyama au uchafu kwenye meno...aaaaarghhhh!!nimepanda gari toka moroko, mpaka avocado mikocheni, abiria mwenzangu cjui kala nyama ya PUNDA maana anazamisha na kuitoa toothpick kama ugomvi...sio ustaarabu hata kidogo, tena akimaliza aitupe chini, hata toilet paper mtu kama anaweza akaiacha bila kuflash...crap!!
wadau upi ni ustaarabu sahihi wa kutumia toothpick?
mhh uyo katisha
lakion inaboa sana....1.jitu linajichokonoa domo kuuubwa
2.mpo sinema/movie sjui mtu kamaliza popkon anaanza kuufikicha fikicha mfuko bas makelele tu
3.mtu anakunywa chai shwaaaaaaaaa..vyuuuuuuuuuuu yaan anaivutaaa utazan anakunywa tope
4.mtu anakula kwa mkono then mkono uo uo anaiingiza kidole mdomon na kuanza kujichokoa afu anaendelea tena
5 jitu zima linaramba vdole...pyuuu pyuuu ahhh jaman
6.kati kati ya kula jitu linaboza aghhh km linataka kutapika
.......uyo wa toothpick ahh kweli inakera ...ilo domo lilikuwa alinuki?
toa pumba zako hapa,umekua editor wa topic za watu,..mwenyewe una krismasi moja hapa mjini unajiona wa daslaaaam!!mshamba ww!!

acha tu rose...nyama zinaliwa bar, unakuja kuleta kero kwenye daladala..domo kama mamba nakwambia...aaagh!!
mshamba shangazi yako, na hizo stick utachokonolewa sana mwaka huu, sura mbaya kama JK,MPSSXXYYY
Kwenye red hapo ni kweli labda kama kuna nyingine mpya .Ipo after JKT makao makuu kama unaenda Kawe.Kuanzia hapo darajani yote ni Kata ya kaweAvocado ni Kawe na si mikocheni
Kwenye red hapo ni kweli labda kama kuna nyingine mpya .Ipo after JKT makao makuu kama unaenda Kawe.Kuanzia hapo darajani yote ni Kata ya kawe
toa pumba zako hapa,umekua editor wa topic za watu,..mwenyewe una krismasi moja hapa mjini unajiona wa daslaaaam!!mshamba ww!!