Aaaaaargghhhhh!! uchafu mtupu na hizi toothpick zenu...

NG'ADA

Senior Member
Sep 2, 2011
152
15
mwana JF mwenzangu mm hili linanipa kichefuchefu, utakuta mtu yuko kwenye daladala (au sehemu yoyote ya hadhara) anaachama mdomo, anaanza kuchokoa meno, kutoa nyama au uchafu kwenye meno...aaaaarghhhh!!nimepanda gari toka moroko, mpaka avocado mikocheni, abiria mwenzangu cjui kala nyama ya PUNDA maana anazamisha na kuitoa toothpick kama ugomvi...sio ustaarabu hata kidogo, tena akimaliza aitupe chini, hata toilet paper mtu kama anaweza akaiacha bila kuflash...crap!!
wadau upi ni ustaarabu sahihi wa kutumia toothpick?
 
mhh uyo katisha
lakion inaboa sana....1.jitu linajichokonoa domo kuuubwa

2.mpo sinema/movie sjui mtu kamaliza popkon anaanza kuufikicha fikicha mfuko bas makelele tu

3.mtu anakunywa chai shwaaaaaaaaa..vyuuuuuuuuuuu yaan anaivutaaa utazan anakunywa tope

4.mtu anakula kwa mkono then mkono uo uo anaiingiza kidole mdomon na kuanza kujichokoa afu anaendelea tena

5 jitu zima linaramba vdole...pyuuu pyuuu ahhh jaman

6.kati kati ya kula jitu linaboza aghhh km linataka kutapika

.......uyo wa toothpick ahh kweli inakera ...ilo domo lilikuwa alinuki?
 
Acha hiyo kuna wale unakuta kasimama anajichitoa mnato wa chupi makalioni na kuibandua bandua

Na wale unakuta jitu limeingiza mkono sehemu zake za siri lajikuna kuna alafu anakuja kukusalimia

Na wale wanaojichokoa chokoa makamasi kuyachezea na anaangalia huko na huko kisha analamba

Hiyo moja ilinipata nasubiri chips mayai mara muuza chips kapenga bonge la kamasi aalafu akashika yai na kulivunjia kwenye kikaangio basi lile kamasi na yai vikachanganyika

Au ushakutana na hii msela unaishi nae kama leo ijumaa kapiga bia safari ya moto kama 6 hivi na huku akivuta sigara aina ya nyota mkahama kijiwe njiani anakutana na wauza pweza akabugia wakati anamalizia akapita muuza mayai ya kuchemsha akachukua mawili akala. Alafu asubuhi anakuongelesha kwa kukusogelea puani "Bro,saa ngapi"?
 
haaaaa pole sana manake mtu anakutia kichefuchefu hivihivi

mwana JF mwenzangu mm hili linanipa kichefuchefu, utakuta mtu yuko kwenye daladala (au sehemu yoyote ya hadhara) anaachama mdomo, anaanza kuchokoa meno, kutoa nyama au uchafu kwenye meno...aaaaarghhhh!!nimepanda gari toka moroko, mpaka avocado mikocheni, abiria mwenzangu cjui kala nyama ya PUNDA maana anazamisha na kuitoa toothpick kama ugomvi...sio ustaarabu hata kidogo, tena akimaliza aitupe chini, hata toilet paper mtu kama anaweza akaiacha bila kuflash...crap!!
wadau upi ni ustaarabu sahihi wa kutumia toothpick?
 
acha tu rose...nyama zinaliwa bar, unakuja kuleta kero kwenye daladala..domo kama mamba nakwambia...aaagh!!
mhh uyo katisha
lakion inaboa sana....1.jitu linajichokonoa domo kuuubwa

2.mpo sinema/movie sjui mtu kamaliza popkon anaanza kuufikicha fikicha mfuko bas makelele tu

3.mtu anakunywa chai shwaaaaaaaaa..vyuuuuuuuuuuu yaan anaivutaaa utazan anakunywa tope

4.mtu anakula kwa mkono then mkono uo uo anaiingiza kidole mdomon na kuanza kujichokoa afu anaendelea tena

5 jitu zima linaramba vdole...pyuuu pyuuu ahhh jaman

6.kati kati ya kula jitu linaboza aghhh km linataka kutapika

.......uyo wa toothpick ahh kweli inakera ...ilo domo lilikuwa alinuki?
 
hapo kwenye red umenikumbusha mengiiiii
mamangu alikuwa ananibonda kuhusu tabia hii mpaka nimekoma
nina mtu wangu wa karibu anapenda chai na anakunywa hivyo
muda wa chai napotezeaga mpaka amalize ndo narudi mezani na mie kupata tea

lakion inaboa sana....1.jitu linajichokonoa domo kuuubwa

2.mpo sinema/movie sjui mtu kamaliza popkon anaanza kuufikicha fikicha mfuko bas makelele tu

3.mtu anakunywa chai shwaaaaaaaaa..vyuuuuuuuuuuu yaan anaivutaaa utazan anakunywa tope

4.mtu anakula kwa mkono then mkono uo uo anaiingiza kidole mdomon na kuanza kujichokoa afu anaendelea tena

5 jitu zima linaramba vdole...pyuuu pyuuu ahhh jaman

6.kati kati ya kula jitu linaboza aghhh km linataka kutap.......uyo wa toothpick ahh kweli inakera ...ilo domo lilikuwa alinuki?[/QUOTE
 
Hii inakera sana na ni uchafu......
Ila hiyo avatar yako mmmh!!
 
toa pumba zako hapa,umekua editor wa topic za watu,..mwenyewe una krismasi moja hapa mjini unajiona wa daslaaaam!!mshamba ww!!

mhh mbona unachepuka bwana...sio poa ivo ..mbona yeye kakurekebsha kistaarabu tu?
amekosea nin?
 
mhh uyo katisha
lakion inaboa sana....1.jitu linajichokonoa domo kuuubwa

2.mpo sinema/movie sjui mtu kamaliza popkon anaanza kuufikicha fikicha mfuko bas makelele tu

3.mtu anakunywa chai shwaaaaaaaaa..vyuuuuuuuuuuu yaan anaivutaaa utazan anakunywa tope

4.mtu anakula kwa mkono then mkono uo uo anaiingiza kidole mdomon na kuanza kujichokoa afu anaendelea tena

5 jitu zima linaramba vdole...pyuuu pyuuu ahhh jaman

6.kati kati ya kula jitu linaboza aghhh km linataka kutapika

.......uyo wa toothpick ahh kweli inakera ...ilo domo lilikuwa alinuki?

Ahahahaaaahh!!! Hizo zote tabia zinakera kwa kweli, lakini watu wanaofanya hivyo wanaona kawaida kabisa...
 
acha tu rose...nyama zinaliwa bar, unakuja kuleta kero kwenye daladala..domo kama mamba nakwambia...aaagh!!

mhh yaan ..sasa uyo wa nyama ya punda ungemsaidia kuchukua lijiti kuubwa ungemwambia panua domo nikusaidie...
 
Umenikumbusha kuna siku nilikuwa nasafari kutoka Moshi kuja Morogoro. Nilikaa na mama mmoja hivi, kila basi likisimama mara kanunua maandazi, mara mahindi ya kuchoma, mara ya kuchemsha, mara sambusa, mihogo, maparachichi, na vyote anakula...... kufika Mombo chipsi kuku..... Alikua anakula hovyo.... Kazi tunaitafuta Chalinze..... alianza kuharisha..... alitusumbua, hasira zote kwake.... mwisho wa siku ilibidi tumuache tu, maana hatuwezi kumuacha porini na hatuwezi vumilia harufu kama tukisema ahare kwenye basi........ To realize civilization among ourselves, we still hv a long way to go........
 
Kwenye red hapo ni kweli labda kama kuna nyingine mpya .Ipo after JKT makao makuu kama unaenda Kawe.Kuanzia hapo darajani yote ni Kata ya kawe

UMEONA EEH namrekebisha huyu ***** anabisha wakati mi ndo kituo cha kwenda home, mijitu mingine bwana..masaburi yao meusiii
 
sasa mbona hasira namna hiyo? kha!
si afadhali toothpick,kuna mtu anatoa kamasi zilizokauka kwenye pua,anafikicha na vidole afu anatupa chini. then anaanza kuchokonoa meno na kucha!
toa pumba zako hapa,umekua editor wa topic za watu,..mwenyewe una krismasi moja hapa mjini unajiona wa daslaaaam!!mshamba ww!!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom