Hahahahahahahaa huyo mwanaume ndio mwanaume wa ukweli maana siku zote yaonekana alikuwa anatumia dume na mkewe na bado kalea mimba na sasa mtoto.
Wale wanaume mnaolalamika humu JF kuwa wake zenu wamewa cheat na watoto sio wenu.... igeni mfano wa huyu baba... hahitaji hata kupima DNA na anaishi na mkewe peace and love.
Ni mawazo yangu tuu Kasie mie sio lazima uyafuate japo ukiyafuata utaishi miaka mingi sana.