Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
Hahahahahahahaa huyo mwanaume ndio mwanaume wa ukweli maana siku zote yaonekana alikuwa anatumia dume na mkewe na bado kalea mimba na sasa mtoto.
Wale wanaume mnaolalamika humu JF kuwa wake zenu wamewa cheat na watoto sio wenu.... igeni mfano wa huyu baba... hahitaji hata kupima DNA na anaishi na mkewe peace and love.
Ni mawazo yangu tuu Kasie mie sio lazima uyafuate japo ukiyafuata utaishi miaka mingi sana.
Mamy what's that!Hahahahahahahhahaaaaa Daby Daby.. ..
Mamy what's that!
Teh... my only question is why! Yaani wote tuna asili ya kimaasai kweli halafu kid atokee Caucasian! !ngachokaThat's honey buns..... aka maandazi yenye asali mahsusi kwa ajili yako. With Kasie.. .. food is plenty...
Teh... my only question is why! Yaani wote tuna asili ya kimaasai kweli halafu kid atokee Caucasian! !ngachoka