A woman

A woman

Nimeingilia ugomvi wa wanandoa ule wa mume kumpiga mke mara nyingi kuliko hata mara nilizowahi kuingia room ya interview.

Uzi wako unafanya nijitathmini.
 
Waliongeaga na ka devil kule paradiso ohoo usi wa underestimate hao kukuharibu ni swali la mda tu
 
Vipi a women who abuse men??
Ila kuwini mioyo ya Wanawake rahisi sana. Ukute kuna ke zimekupenda kisa hutu tumaneno twa kuokoteza mitandaoni 😆
 
Vipi a women who abuse men??
Ila kuwini mioyo ya Wanawake rahisi sana. Ukute kuna ke zimekupenda kisa hutu tumaneno twa kuokoteza mitandaoni [emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23]

Nmeokoteza wapi Tena mzee
 
Back
Top Bottom