snowhite
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 18,422
- 25,322
he he, ngoja nimfowadie zombie aje kutoa maksi.
naona kuna aliyejitolea kujibu tayari!
ulimtuma?
he he, ngoja nimfowadie zombie aje kutoa maksi.
naona kuna aliyejitolea kujibu tayari!
ulimtuma?
polee nikufasirie?
Hunifai.....lol
haaahh!! we utafaaliwa na wangapi?
Mmoja tu naye ni wewe baby....
Acha uongo wakati mi nimetoka kukufaa muda si mrefu....
Eeh hadi utoe siri kama nimekukopa?