A wife is needed

A wife is needed

capernaum

Member
Joined
Nov 18, 2023
Posts
10
Reaction score
59
Natafuta binti mrembo aliye tayari kuwa mke tufanye maisha.

Nina miaka 36, mkristo, mrefu wa wastani, sio mnene, sina mtoto, elimu ya chuo kikuu na situmii kilevi. Nimeajiriwa na ninajishughulisha na biashara kadhaa.

Binti naemtafuta: Asiwe mnene, asizidi miaka 30, asiwe na mtoto, elimu ya chuo & asiwe mlevi.

Kwa maelezo zaidi karibuni PM.
 
Kila la heri mkuu
 
Haya haya wadau, nimerudi sokoni.

Mwenye vigezo vyake aje PM tuyajenge. Upweke unaua.
 
Mapenzi siku hizi yanaangalia mpaka elimu, haya kila la kheri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom