A warning to all men

A warning to all men

Hahaaaa, Pole yenu, mnaweka memories za watu ambao hata hawakumbuki chochote. we kila ukimuona unaumia roho kwa hizo GB zenu wakati mwenzako anafurahia tu maisha. Bora hata ingekua ukikumbuka kimoyomoyo na unavyoumia nae (nao) wanaumia kama wewe, la hasha. mtu unakonda na kuteseka kwa ajili ya mwingine kimoyomoyo....?? Just forgivr, and move on.

Kusamehe na kusahau ni vitu viwili tofauti tofauti. Mungu akisamehe anasahau. na wanadamu baadhi nao vilevile lakini kwa wale wanaokumbuka yale waliokwisha kusamehe,, je yanakuja kama kumbukumbu tu au yanakuja na maumivu?? yakija na maumivu na hasira bado hujasamehe.........
 
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"][TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"]A photographer will die of old age waiting to get another shot like this one.
When a male can't stand it anymore!

Priceless shot! "It's enough, Shut-up"

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
I didnt know birds are also facing the same problem as men!!


 
Don’t start an argument with a girl because they all have 63022184 GB memories and will bring up something you did at 7:22PM on 04/12/2008

hakuna kitu kama hiyo bana... labda migegedo..
 
Mbona mashuleni wanaongoza kwa kufeli, au memory zao zimejaa upuuzi tu
 
Can't argue with this logic
[TABLE="class: MsoNormalTable"]
[TR]
[TD="bgcolor: transparent"][TABLE="class: MsoNormalTable, width: 100%"]
[TR]
[TD="width: 100%, bgcolor: transparent"]

[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Don't start an argument with a girl because they all have 63022184 GB memories and will bring up something you did at 7:22PM on 04/12/2008

Yamekukuta nini?, maana mimi ndio ugonjwa wangu huo wa kila siku kabla sijaanza

naambiwa kwani we umesahau siku ile... Nabaki duu! :rolleyez:
 
Back
Top Bottom