A warning Message to all Wives and Girlfriends

Hahahahahahahaha sikuisoma hii!
Ila nilijiwahi kwa kuanza nalo,hapa najua Neymar alifunga goli 2,moja la mbali lingine la penalty
Am I not trying?
 
Hahahahahahahaha sikuisoma hii!
Ila nilijiwahi kwa kuanza nalo,hapa najua Neymar alifunga goli 2,moja la mbali lingine la penalty
Am I not trying?

You're trying lakini Croatia nao walifunga pia. Nani alifunga?
 
Sasa hapo unauliza swali la Integration kwa mwanafunzi wa HGL!

Yale majina kuyashika ni kazi ujuee,kwanza naona yote yanafanana bora enzi zile Davor Suker lilikuwa rahis hay a Ijovic,Papidic sijui Ijuc mwe!
 
Ah bwana ,majina yenyewe magumuuuu
Ila najua kocha wa Brazil anaitwa Fillipe Scolari!

Good try. Na yule kocha wa Cameroon anaitwaje vile?
 
Yale majina kuyashika ni kazi ujuee,kwanza naona yote yanafanana bora enzi zile Davor Suker lilikuwa rahis hay a Ijovic,Papidic sijui Ijuc mwe!

Sidhani kama haya yanafanana. Wewe sikiliza tuu jinsi mtangazaji atakavyoyatamka.

Danny Invincible (siyo yule Invisible wa hapa)
David Seaman
Argelico ----s (hizo dash ina maana hilo jina limepigwa ban hapa JF).
Danny Shittu
Paul Dickov
Milan Fukal
Dean Windass
Rod Fanni
Anil Koc
Segar Bastard
Peter Shirtliff
Johan de Kock
Fabian Assman
Hans-Jorg Butt
Nick Butt
Stefan Kuntz

cc. Mentor Kongosho
 
Last edited by a moderator:
Yale majina kuyashika ni kazi ujuee,kwanza naona yote yanafanana bora enzi zile Davor Suker lilikuwa rahis hay a Ijovic,Papidic sijui Ijuc mwe!

Dah uko vizuri...nina wasiwasi mchepuko wako anakusaidia mapwenti hapa! si bure..dah...
 
Hiki ni kikosi cha nchi gani mkuu EMT...kuna majina mawili tu ndo nayajua!!!
 
Last edited by a moderator:
Dah!
Kikosi cha Holland na cha Nigeria pia ndo nilikua nakijua japo kidogo
Ile uholanzi ya kina Dennis Bergkamp na Nigeria ya Rashid Yekini
Hawa siku hiz napitwa kiaina!
Dalili za uzee
 
Last edited by a moderator:

Lakn ngoooooja kwanza David Seaman alikuwa Kipa England!
Huyu umenichomekea!
 
Last edited by a moderator:
Dah uko vizuri...nina wasiwasi mchepuko wako anakusaidia mapwenti hapa! si bure..dah...

Hahahahahaha
Kuna wengine katubambikia
Nick Butt pia sidhani kama yuko kikosi kimoja na huyo Jorg nani sijui!
 
EMT Maelezo tafadhali kuhusu Peter Shirtliff
Unless umefanya combo ya FIFA kila nikiangalia hii list zinakuja bendera za nchi tofauti kichwani
 
Last edited by a moderator:
Mbombo ingafu!

ila yatapita kama enzi za vuvuzela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…