Hakuna jibu, that means ur math is invalid because namba ya juu ni consonant ie a e i (o) u, na ya chini ndio namba yani zero. Watu hata kuona hamuoni?
Kwenye hesabu,kama kuna arithmetic number na mathematical operation,with brackets,unatakiwa usimplify cuz of ZEROS,so kwa jokes upo sawa bt kwa kihisabati,there is mathematical and sync error million hapo
sidhani kama wewe ni mtu wa hesabu,la logically yupo sahii kabisa, na hiyo ni moja ya challenge katika ulimwengu wa hisabati. usiishi kwa theory, huo ni ukweli wa wawazi hata walio tunga theory ni binadamua 4-4=0 so 4-4/4-4 ni sawa na 0/0. ameapply njia sahii za kihisabati. sio joke ni ukweli na watu wanuandikia kuleta mapinduzi katika hisabati soma utakutana na hilo na mengine mengi katika hisabati