Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,276 Apr 15, 2019 #1 Wengi hujengea watoto kama sehemu ya kuchezea. Mara nyingi inakuwa nyuma ya nyumba. Wengine huboresha zaidi na kuwa weekend break. Unapanda huu na mahitaji yako yote
Wengi hujengea watoto kama sehemu ya kuchezea. Mara nyingi inakuwa nyuma ya nyumba. Wengine huboresha zaidi na kuwa weekend break. Unapanda huu na mahitaji yako yote
kifinga JF-Expert Member Dec 5, 2011 5,249 9,499 Apr 15, 2019 #2 oooh so beautiful na kausingizi ka weekend baada ya heavy breakfast saafi
Neutral catalyst JF-Expert Member Oct 10, 2013 261 146 Apr 15, 2019 #3 zinapendeza sana wengine wanajenga za kuish kabisa nangaliaga kipind flani hv discovery channel kinaitwa tree house masters jamaa wanajenga balaa.
zinapendeza sana wengine wanajenga za kuish kabisa nangaliaga kipind flani hv discovery channel kinaitwa tree house masters jamaa wanajenga balaa.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Feb 4, 2009 74,893 155,911 Apr 15, 2019 #5 Huko mkileta mastaili yenu hakikisheni hamzidiwi na ma uhondo hadi mdondoke
chenjichenji JF-Expert Member Jul 18, 2013 1,755 3,451 Apr 15, 2019 #7 Bujibuji said: Huko mkileta mastaili yenu hakikisheni hamzidiwi na ma uhondo hadi mdondoke Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
Bujibuji said: Huko mkileta mastaili yenu hakikisheni hamzidiwi na ma uhondo hadi mdondoke Click to expand... Sent using Jamii Forums mobile app
mrangi JF-Expert Member Feb 19, 2014 80,896 106,171 Apr 15, 2019 #9 Sisi wazee wa mitungi Hyo nyumba haitufahi Ova Sent using Jamii Forums mobile app
Doctizo Mtengwa JF-Expert Member Feb 16, 2019 818 1,484 Apr 15, 2019 #11 Sehemu nzuri sana hiyo tena sio kwa watoto tu ata wale wenzangu wa kufanya meditation ya weed. nadhani kelele pekee apo ni za wanyama na ndege
Sehemu nzuri sana hiyo tena sio kwa watoto tu ata wale wenzangu wa kufanya meditation ya weed. nadhani kelele pekee apo ni za wanyama na ndege
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,276 Apr 15, 2019 Thread starter #12 socrstes said: Sehemu nzuri sana hiyo tena sio kwa watoto tu ata wale wenzangu wa kufanya meditation ya weed. nadhani kelele pekee apo ni za wanyama na ndege Click to expand... Mkuu alisema mradi msionekane
socrstes said: Sehemu nzuri sana hiyo tena sio kwa watoto tu ata wale wenzangu wa kufanya meditation ya weed. nadhani kelele pekee apo ni za wanyama na ndege Click to expand... Mkuu alisema mradi msionekane
Doctizo Mtengwa JF-Expert Member Feb 16, 2019 818 1,484 Apr 15, 2019 #13 Sky Eclat said: Mkuu alisema mradi msionekane Click to expand... tena nikiwa na ako kajumba ntakuwa nimetii sheria ya mkuu maana hawataniona
Sky Eclat said: Mkuu alisema mradi msionekane Click to expand... tena nikiwa na ako kajumba ntakuwa nimetii sheria ya mkuu maana hawataniona
B bigmash JF-Expert Member Apr 8, 2017 416 421 Apr 15, 2019 #14 Tatizo ukiwa umelala mara unasikia mwenzio kaja na msumeno na kuanza kuukata mti akatengeneze mkaa, ile unastuka mti unakaribia kudondoka. Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ukiwa umelala mara unasikia mwenzio kaja na msumeno na kuanza kuukata mti akatengeneze mkaa, ile unastuka mti unakaribia kudondoka. Sent using Jamii Forums mobile app
Doctizo Mtengwa JF-Expert Member Feb 16, 2019 818 1,484 Apr 15, 2019 #15 mrangi said: Sisi wazee wa mitungi Hyo nyumba haitufahi Ova Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwa nyie wazee watungi mbona rahisi parachute itawafaa
mrangi said: Sisi wazee wa mitungi Hyo nyumba haitufahi Ova Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwa nyie wazee watungi mbona rahisi parachute itawafaa
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,276 Apr 15, 2019 Thread starter #17 Mwambwaro said: VP kuhusu nyoka apo Click to expand... Unachoma tairi la gari chini nusu saa kabla hujapanda.
Mwambwaro said: VP kuhusu nyoka apo Click to expand... Unachoma tairi la gari chini nusu saa kabla hujapanda.
TAI DUME JF-Expert Member Feb 20, 2014 8,859 23,119 Apr 15, 2019 #18 Kwaio mti ukikatika na nyumba kwishnei Sent using Jamii Forums mobile app
Sky Eclat JF-Expert Member Oct 17, 2012 57,595 215,276 Apr 15, 2019 Thread starter #19 kawoli said: Kwaio mti ukikatika na nyumba kwishnei Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwani kuna kinachodumu milele?
kawoli said: Kwaio mti ukikatika na nyumba kwishnei Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... Kwani kuna kinachodumu milele?
TAI DUME JF-Expert Member Feb 20, 2014 8,859 23,119 Apr 15, 2019 #20 Sky Eclat said: Kwani kuna kinachodumu milele? Click to expand... Kwaheri Sent using Jamii Forums mobile app
Sky Eclat said: Kwani kuna kinachodumu milele? Click to expand... Kwaheri Sent using Jamii Forums mobile app