A- town superstars (mt. Worriors) enzi hizo.

A- town superstars (mt. Worriors) enzi hizo.

m_kishuri

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2010
Posts
1,484
Reaction score
372
316213_10150446825859180_696919179_10525045_870952175_n.jpg

Kwa wenye kumbukumbu za hawa Mastars wetu atusaidie tafadhali ......... Nafahamu kwamba baadhi yao wameishatutangulia mbele ya haki (Akhera). RIP kwa mchango wao wa maendeleo ya soccer Arusha na Tanzania kwa ujumla.
 
wapi? Arusha!!!!
Sehemu gani hapa, hii si bahari?
 
Huyo mwenye mwanya alikua anaitwa Azzizi Nyoni Njalambaya
 
Wa kwanza kushoto waliosimama alikuwa anaitwa Ally Mtumwa, sina uhakika kama bado anadunda au ametangulia nyumbani.
 
Mwenye mwanya jina lake ni Charles MGODO na sio Aziz Nyoni. Wa kwanza kushoto ni Coach Ally IDDI Mtumwa, Hamis Thobias Gaga (RIP), na Chalii Victor Bambo (wa Unga Ltd/Sinoni). Wengine bado natafuta majina yao.
 
Duuuh... Picha Mnato hii kama hajapiga Prof.Photographer Zadock Koola basi kapiga Unkal Mithupu...
 
Wa kwanza kushoto waliosimama alikuwa anaitwa Ally Mtumwa, sina uhakika kama bado anadunda au ametangulia nyumbani.

Taratibu Shedafa!!! Coach Ally Mtumwa Iddi..... Alias SUPER....yupo mzima wa buheri sio. Juzi tu alikuwa Dar kwenye semina za CUF.
Huyo ndie aliyenifundisha kupiga danadana pale sheikh Amri Abeid.
 
Taratibu Shedafa!!! Coach Ally Mtumwa Iddi..... Alias SUPER....yupo mzima wa buheri sio. Juzi tu alikuwa Dar kwenye semina za CUF.
Huyo ndie aliyenifundisha kupiga danadana pale sheikh Amri Abeid.
Nimefurahi kusikia yu mzima wa afya, mimi nilikuwa shabiki wake mkubwa wakati akichezea Kurugenzi ya Arusha. Asante kwa taarifa mkuu!
 
Ally Mtumwa, kwa sasa ni Driver guides na Akorn Destinations (A&K) analonga lugha za kigeni lukuki.....LOl
Aziz Nyoni anafundisha vitimu vidogo vidogo na amekuwa aki-coach vijana wa Sopa kwa ajili ya Sports zao za kila mwaka huko porini.Mwezi wa kumi na moja 2011 alikuwa Ngorongoro.....Wengine mashuhuri hapo ni Simon Kishoka!!!:yawn:
 
Mwenye mwanya jina lake ni Charles MGODO na sio Aziz Nyoni. Wa kwanza kushoto ni Coach Ally IDDI Mtumwa, Hamis Thobias Gaga (RIP), na Chalii Victor Bambo (wa Unga Ltd/Sinoni). Wengine bado natafuta majina yao.

Charles Mngodo, !!! Chalrles Mngodo !!! Charles Mngodo, huyu jamaa alikuwa just magnificently brilliant midfield. Wachezaji kama yeye, marehemu Ramadhani Leny na Peter Tino ulikuwa huna budi uwapende tuuuu, hata kama wapinzani wako.
 
Tell me about it!!!!!Huyu jamaa nilikuja kumuona katika miaka yake ya mwisho alipokuja kuchezea NDoVU ya Arusha. Naam, jamaa alikuwa mtaalamu kwelikweli. Sijui anaendelaje maskini, kwani hatma ya wachezaji wetu wa SOCCER wa Kibongo inasikitisha sana.
 
hivi mnamkumbuka fokas lukasi standardizer?
Duh, namkumbuka sana huyu babu. Yaani Focus alikuwa anatisha kama njaa maanake. Alikuwa na zile walikuwa wanaita B3 ENZI hizo, (yaani Brain, Balance, na Ball Control). Mara ya mwisho alikuwa anafanyakazi LAB pale A.I.C.C.
 
Angalia hali ya Jella Mtagwa na Peter Tino ndipo utakapojua HATMA ya wachezaji wa KIBONGO.
Tino%2Bna%2BKitwana.jpg

B3 ENZI hizo, (yaani Brain, Balance, na Ball Control).

huu ndio msingi wa football.siku hizi utasikia ooh wachezaji wetu hawana nguvu!kumbe hatuhitaji nguvu kwenye soka badala yake vitu hivyo v3
 
Back
Top Bottom