Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 18,549
- 21,676
labda aamke nusu saa kablaMwanamke kwa dk 5 hizo Angekua bado anaset nywele,mpaka kukamilisha nusu saa na bado Kuna vitu atasahau.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Mwanamke kwa dk 5 hizo Angekua bado anaset nywele,mpaka kukamilisha nusu saa na bado Kuna vitu atasahau.
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app

kweli kabisaKumbe hiki ni kipaji?
ukute ndio nimelala na kitu kichwani alafu simu ya kwanza kunishtua labda bosi. naweza tumia mbili tuMbona 5 nyingi hivyo! 3 tu zinatosha..😂