A Surprise gift for him/her!

A Surprise gift for him/her!

Mwanaukweli

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2007
Posts
4,789
Reaction score
1,732
Jamani kuna hii kitu hapa mpya inakuja.

Ukiweza kumpatia unayempenda zawadi hii kabla hajaiona kwa wengine, itakuwa surprise kubwa kwake na bila shaka itakoleza penzi lenu.
Kama ilivyo desturi ya Apple kuja na vitu vyenye viwango vya juu sana, wiki chache zijazo watatoa saa mpya za apple zitakazojulikana kama iWatch Apple. Zitauzwa kwa bei ya kuanzia ya $300-400, na zitatoka wiki ya kwanza ya Oktoba.

Licha ya kukuonesha muda, ina uwezo wa kufanya yote ambayo iPhone yako ina uwezo wa kuyafanya, pamoja na kupiga picha, kurekodi video, kuelekeza mwelekeo (GPS), kupokea email/sms toka kwenye a/c zako za email na fb pamoja na namba zako za simu n.k. Ina bloototh inayokuwezesha kuongea kwenye simu yako bila kuipeleka iWatch masikioni.

Utaweza kuongeza apps nyingine upendazo kama za utabiri wa hali ya hewa, na hata breaking news kutoka mitandao ya habari maarufu.

Kwa kifupi, iPad yako, iPhone yako itahamia kwenye kiganja chako.



Hivi ndivyo saa hiyo itakavyokuwa:

iWatch-Mockup-3-full.jpg


iWatch ikiwa kwenye box lake.



Apple-iwatch-Render-2.jpg


iwatch ikiwa nje ya box
Apple-iwatch-Render-3.jpg

Muonekano mwingine wa iWatch

Apple-iwatch-Render-4.jpg

Zipo rangi mbali mbali

Apple-iwatch-Render-5.jpg

Apple-iwatch-Render-1.jpg

From another angle.
Apple-iwatch-Render-6.jpg


So cute


Video yake
 
Last edited by a moderator:
^^
Haya mapenzi ya kizungu ndo maana wengine tunaishia kutazma tu.
^^
 
^^
Haya mapenzi ya kizungu ndo maana wengine tunaishia kutazma tu.
^^
Nyumba ndogo zitaanza kudai hii.

Kwa wanaume wengi walio na nyumba ndogo, hii zawadi itaenda nyumba ndogo
 
Nyumba ndogo zitaanza kudai hii.

Kwa wanaume wengi walio na nyumba ndogo, hii zawadi itaenda nyumba ndogo

Hapana, itazame katika mtazamo chanya, inaweza kuamsha mapenzi katika ndoa/mapenzi yaliyofubaa.
 
Back
Top Bottom