A Special message to single mothers

They need to be respected and loved, 'en i truly wish I cud marry dem all..! Live long single moms!
 
Huwa nawakubali sana single mothers,kwa jinsi ambavyo
waliona umuhimu wa maisha ya watoto wao wangali tumboni.
nawakubali kwa sababu si kwamba hawakujua vuijiwe vya kutoa
mimba ili waendelee kuitwa wadada warembo na kula maisha.
nawakubali kwa sababu pia walijua kufanya kosa si kosa
bali kosa zaidi ni kumuadhibu kiumbe dhaifu ambaye
hakukutuma kufanya kosa ilihali uonekane mwema.
Kwa sababu hizo na nyingine,nawakubali sana watu hawa
na huwa nawapa ushirikiano pale inapowezekana.
 
Heshima yako lusungo! Nakumbuka bandiko kuhusu maswala ya ng'ambo, mpk leo bado inatrend..live long chief!
 
Hivi huyo ni baba au ni beberu?
kama wewe ni baba inakuwaje unaikimbia mimba yako?
Mimi ni mwanaume ili tuseme ukweli, kama
umeikimbia mimba yako ukamwacha mdada wa watu anateseka,
sioni tofauti yako na beberu ambalo linajua kutungisha
mimba ila halijui kuwa kuna kutunza mimba na watoto.
 
Point!
 
Nayeye ana moyo kama wengine. Anatamani mapenzi.
 
Ahsante sana..nikiwa kama singlemom nimekuelewa sana
 
wanawake muwanafiki sana, wao kwa wao tu kwanza wanabaguana na wamebeba chuki nzito sana miyoni mwao.

utaona kwenye mada za kiadhara kama hizi jinsi wanavyoteteana huku wakilaani vikali wanaume wote wanaowapondea single mothers, lakini hao hao sisi kaka zao tukiwapelekea mawifi kuwatambulisha nyumbani na wakigundua kwamba huyo wifi mwenyewe tayari ni single mother basi wanabadilisha kabisa na mood na bila kupepesa macho wanatuambia tusioe kabisa single mother.

anyway binfsi sina tatizo na single mother ninaweza nikamuoa mradi tu ana kidhi vigezo muhimu. na kama kuna single mother yeyote mwenye watoto wa tatu anaehitaji bwana aje pm tuyajenge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…