Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,387
Nasikia raha tu. Nimekumiss mtu mwenye nyota yake ya masheraNini sasa?!![emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
hahaaa...piganeni sasa"" kwani hakuna option ya kuonana na kupigana masingi huu !?Inategemea ntu na ntu,ila kwa wewe acha tu upewe hizo kauli,kuna uzi chitchat ukaenda kusema unavyotongoza pm (kiukweli nlishangaa sana ni kama vile mtaani umempa game mtu anakutangaza),unafikiri kuna mtu anaweza jisocialise nawewe?ya private yabaki private kuyaleta jukwaani ni ushamba na utoto tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji14] [emoji14] binaaa....not anymore!! Sasa hv nataka nile ujana tuuu!!Nasikia raha tu. Nimekumiss mtu mwenye nyota yake ya mashera
Lazima udengue, nyota si ipo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji14] [emoji14] [emoji14] binaaa....not anymore!! Sasa hv nataka nile ujana tuuu!!
Nshaghairi kuolewa tenaaaa!!
Akuuuh!!hapana kwa kweli sasa ni kula gudtime tuu!!sitaki kwa kweliLazima udengue, nyota si ipo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nichake kwanza kwa furaha boss alafu nitarudiNipo hapa boss, nimeona nimsaidie kujibu, siunajua kusaidiana muhimu
Mavi yakooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ngoja nichake kwanza kwa furaha boss alafu nitarudi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanionea bure tu mimiMavi yakooo
Mwisho wa siku Single mother nae ni mwanamke kama wanawake wengine, anayo kila sababu ya kuhitaji kupendwa, kuolewa, na kuwa na mwanaume ampendae.
Yeye kuwa na mtoto hakumfanyi asivutie, asipendwe au aonekane disperate na kufanywa kama chombo cha starehe na wanaume wakware. Ndio, yeye ni mama na ni mwanamke pia, tena mwanamke mzuri ambaye ana a lot of things to offer!
Black bro, mpende kama wanawake wengine na usimuone kama yuko dillema ukatumia huo udhaifu wake. Usimuone kama anatafuta mwanaume wa kumsaidia kulea mtoto wake. Licha ya aliyopitia bado Hajavunjika moyo, she is not a mess!
Ni mwanamke mzuri, anayepambana na hali yake na wala hatafuti huruma. Anampenda mtoto wake kwa moyo wote, na anao upendo wa hali ya juu kwa mtu ambae ataonesha kumthamini. Mpende, na jaribu kuelewa mazingira yaliyomfanya mpaka akawa single mother, ukielewa hilo utajikuta ukimheshimu kwa yale aliyopitia!
Uhisi uzuri wake, muone namna anavyopenda it is beyond her motherhood, mtazame namna anavyomkuza mtoto wake, namna anavyomlea mwanae, inaonesha namna yeye binafsi alivyo. Ni rahisi mno kumpenda, ni rahisi mno kumpenda mtoto wake.
Single mother, ninyi ni wazuri. Mna moyo wa kulea; naamini siku moja mtakuja kuwa wake wazuri kwa mwanaume atakaetambua namna mlivyo!!
Let us Stand ovation to all single mums [emoji817][emoji817]
NB: Natoa zawadi ya iphone 7 Space gray 128GB kwa single mother atakaetoa ushuhuda mzuri kupita wote....
Nasikia raha tu. Nimekumiss mtu mwenye nyota yake ya mashera
Nipo jamani mpendwa, me nakuona sanaMpendwa katika bwana upo? Muda kweli sijakuona
Nipo jamani mpendwa, me nakuona sana
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] umbea tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unanionea bure tu mimi
[emoji57] [emoji57]Mpendwa katika bwana upo? Muda kweli sijakuona
Binamu upoo!!!?Nipo jamani mpendwa, me nakuona sana
Nipo jamani mpendwa, me nakuona sana
Hakuna nyota wala mwezi maamuzi tuu!Lazima udengue, nyota si ipo
[emoji57] [emoji57]
Ntaenda wapi bina. Nipo sana tu nanyapia nyapiaRaynavero. post: 27171793 said:Binamu upoo!!!?