Watakutooooooom##a utarudi hapa unataka mtoto tu wanaume hutaki tena
mkaka mpaka 34years yuko single???
Tena unamuokotea humu?
Huyo ni kimeo pasua kichwa
Iam single,am looking for a single man aliyetayar kwa mahusiano serious,Kama uko below hiyo age ,pls...dont bother kunipm....naomba wew kaka ambaye hauko serious usinipm
Watakutooooooom##a utarudi hapa unataka mtoto tu wanaume hutaki tena
mkaka mpaka 34years yuko single???
Tena unamuokotea humu?
Huyo ni kimeo pasua kichwa
MIE Nina 33 mpaka cheti cha kuzaliwa na passport IPO.
Nimeajiriwa .
Nina shahada.
Njoo pm tuyapange.
Nipo mwanza kikazi.
Ila home ni dar maeneo ya makonde along bagamoyo road
More than that. Yaani haliwazi maendeleo nikuzuruza tuuu akipata kahela anakatafuna haraka na vi bia anaomba kwa ndugu. Nkasema huyu disable apite hiviiii
More than that. Yaani haliwazi maendeleo nikuzuruza tuuu akipata kahela anakatafuna haraka na vi bia anaomba kwa ndugu. Nkasema huyu disable apite hiviiii