Huwa anawatoa Jalalani na jana yule profesa mkodozi wa macho amelithibitisha hili! Na ninatumaini unajua jalalani vinapatikana vitu vya aina gani!Teua/tengua aifanyayo Rais na Mwenyekiti wangu Dr. John Pombe Magufuli haina taswira nzuri. Huonesha na kutonesha 'udhaifu' katika teuzi. Kitendo cha Mteule 'kuchongewa' mbele za Mteuwa wake na Mteuwa kumtumbua siku inayofuata si chema. Nasisitiza, hiki si kitendo chema. Kitendo cha Mteule kukosea mbele ya Mteuwa wake na kutumbuliwa hima si kizuri.
Wakati nikiwa kwenye mifumo ya Serikali na chama, nilifahamu kuwa Wateule hupatikana kwa utaratibu maalum ingawa huteuliwa na Mteuwa. Huchujwa na kuchujika; kuchunguzwa wakachunguzika na kufuatiliwa na wakafutilika. Hujulikana uimara na udhaifu wao. Huteuliwa kwenye nafasi zinazoendana na uimara na udhaifu wao. Na husaidiwa kiserikali au kichama.
Kwasasa nimebaki chamani na sipo tena Serikalini kulipo na uteuzi. Nimebaki kama kada mwandamizi wa CCM lakini nisiye na maamuzi yoyote. Nabaki kustaajabishwa na aina ya viongozi wanaoteuliwa na kutumbuliwa. Wapo wanaolalamikiwa lakini wanachuniwa. Wapo wanaonyamaziwa lakini wanatangaziwa. Mambo yamebadilika. Mambo yamekuwa mambo!
Ndiyo maana najiuliza, Rais huwapata wapi anaowateuwa? Walikuwa timu moja wakati wa harakati zake za 2015 hata kama ni sirini? (maana nawajua waliokuwa naye kuanzia Ukumbini na kwenye kampeni zake wakimuunga mkono waziwazi). wanaletwa na utaratibu unaowachuja na kuwawasilisha kwake? Anawapataje hasa kwasasa? Naichukia tabia ya kumchongea kiongozi waziwazi mbele ya Mteuwa wake.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kilosa, Morogoro)
Yawezekana wewe hutaki kuona SGR, Elimu Bure, Daraja la Furahisha Mwanza, Flyovers Dar es Salaam n.k. Acha tukuonesheHivi unadhani sisi ni vipofu au tuko ukimbizini hatuoni mpaka ww utuambie?
Propesa Kabudi kasema jana alitolewa jalalani..!! Ila mm nilijua kabla ya kuwa Waziri, Kabudi alikuwa UDSM..!! Kumbe UD ni jalalani? [emoji848]

Yawezekana wewe hutaki kuona SGR, Elimu Bure, Daraja la Furahisha Mwanza, Flyovers Dar es Salaam n.k. Acha tukuoneshe
Huu ni utawala uliofuata kanuni, jinsi alivyopatikana ndivyo anavyowapata wateule wake. Hashauriki na haamini mtu yeyoteTeua/tengua aifanyayo Rais na Mwenyekiti wangu Dr. John Pombe Magufuli haina taswira nzuri. Huonesha na kutonesha 'udhaifu' katika teuzi. Kitendo cha Mteule 'kuchongewa' mbele za Mteuwa wake na Mteuwa kumtumbua siku inayofuata si chema. Nasisitiza, hiki si kitendo chema. Kitendo cha Mteule kukosea mbele ya Mteuwa wake na kutumbuliwa hima si kizuri.
Wakati nikiwa kwenye mifumo ya Serikali na chama, nilifahamu kuwa Wateule hupatikana kwa utaratibu maalum ingawa huteuliwa na Mteuwa. Huchujwa na kuchujika; kuchunguzwa wakachunguzika na kufuatiliwa na wakafutilika. Hujulikana uimara na udhaifu wao. Huteuliwa kwenye nafasi zinazoendana na uimara na udhaifu wao. Na husaidiwa kiserikali au kichama.
Kwasasa nimebaki chamani na sipo tena Serikalini kulipo na uteuzi. Nimebaki kama kada mwandamizi wa CCM lakini nisiye na maamuzi yoyote. Nabaki kustaajabishwa na aina ya viongozi wanaoteuliwa na kutumbuliwa. Wapo wanaolalamikiwa lakini wanachuniwa. Wapo wanaonyamaziwa lakini wanatangaziwa. Mambo yamebadilika. Mambo yamekuwa mambo!
Ndiyo maana najiuliza, Rais huwapata wapi anaowateuwa? Walikuwa timu moja wakati wa harakati zake za 2015 hata kama ni sirini? (maana nawajua waliokuwa naye kuanzia Ukumbini na kwenye kampeni zake wakimuunga mkono waziwazi). wanaletwa na utaratibu unaowachuja na kuwawasilisha kwake? Anawapataje hasa kwasasa? Naichukia tabia ya kumchongea kiongozi waziwazi mbele ya Mteuwa wake.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kilosa, Morogoro)
Hivi unadhani sisi ni vipofu au tuko ukimbizini hatuoni mpaka ww utuambie?
kuna uzi wa erythrocyte unaitwa " Jinsi wasaliti wanavyoula huku wafia chama wakitelekezwa " mle ndani kuna baadhi ya majibu ya swali lakoTeua/tengua aifanyayo Rais na Mwenyekiti wangu Dr. John Pombe Magufuli haina taswira nzuri. Huonesha na kutonesha 'udhaifu' katika teuzi. Kitendo cha Mteule 'kuchongewa' mbele za Mteuwa wake na Mteuwa kumtumbua siku inayofuata si chema. Nasisitiza, hiki si kitendo chema. Kitendo cha Mteule kukosea mbele ya Mteuwa wake na kutumbuliwa hima si kizuri.
Wakati nikiwa kwenye mifumo ya Serikali na chama, nilifahamu kuwa Wateule hupatikana kwa utaratibu maalum ingawa huteuliwa na Mteuwa. Huchujwa na kuchujika; kuchunguzwa wakachunguzika na kufuatiliwa na wakafutilika. Hujulikana uimara na udhaifu wao. Huteuliwa kwenye nafasi zinazoendana na uimara na udhaifu wao. Na husaidiwa kiserikali au kichama.
Kwasasa nimebaki chamani na sipo tena Serikalini kulipo na uteuzi. Nimebaki kama kada mwandamizi wa CCM lakini nisiye na maamuzi yoyote. Nabaki kustaajabishwa na aina ya viongozi wanaoteuliwa na kutumbuliwa. Wapo wanaolalamikiwa lakini wanachuniwa. Wapo wanaonyamaziwa lakini wanatangaziwa. Mambo yamebadilika. Mambo yamekuwa mambo!
Ndiyo maana najiuliza, Rais huwapata wapi anaowateuwa? Walikuwa timu moja wakati wa harakati zake za 2015 hata kama ni sirini? (maana nawajua waliokuwa naye kuanzia Ukumbini na kwenye kampeni zake wakimuunga mkono waziwazi). wanaletwa na utaratibu unaowachuja na kuwawasilisha kwake? Anawapataje hasa kwasasa? Naichukia tabia ya kumchongea kiongozi waziwazi mbele ya Mteuwa wake.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kilosa, Morogoro)
Halafu utoke kanda ileeeeNi wazi anawateua asiowajua vizuri au wanaoletwa na wapambe na wengine sifa kuu ni kuhama kutoka upinzani na kuingia ccm kama akina Waitara
Mzee tupa tupa, tumia uzee wako vizuri baba Kwasababu huna mamlaka ya kumhoji Rais, ni Kama kijana wako ukisikia anakuuliza tarehe uliyolala na mama yake Ndo yy akapatikana, tulia Mzee, JPM is not simple Like how your ego drives you to believe
Mkuu, Leo umemkumbuka Waziri Wa zamani Wa Fedha?Mzee Tupatupa Msalimie Mzee Mustafa Mkulo hapo Kilosa
Walionyeshwa maji ya benderaTeua/tengua aifanyayo Rais na Mwenyekiti wangu Dr. John Pombe Magufuli haina taswira nzuri. Huonesha na kutonesha 'udhaifu' katika teuzi. Kitendo cha Mteule 'kuchongewa' mbele za Mteuwa wake na Mteuwa kumtumbua siku inayofuata si chema. Nasisitiza, hiki si kitendo chema. Kitendo cha Mteule kukosea mbele ya Mteuwa wake na kutumbuliwa hima si kizuri.
Wakati nikiwa kwenye mifumo ya Serikali na chama, nilifahamu kuwa Wateule hupatikana kwa utaratibu maalum ingawa huteuliwa na Mteuwa. Huchujwa na kuchujika; kuchunguzwa wakachunguzika na kufuatiliwa na wakafutilika. Hujulikana uimara na udhaifu wao. Huteuliwa kwenye nafasi zinazoendana na uimara na udhaifu wao. Na husaidiwa kiserikali au kichama.
Kwasasa nimebaki chamani na sipo tena Serikalini kulipo na uteuzi. Nimebaki kama kada mwandamizi wa CCM lakini nisiye na maamuzi yoyote. Nabaki kustaajabishwa na aina ya viongozi wanaoteuliwa na kutumbuliwa. Wapo wanaolalamikiwa lakini wanachuniwa. Wapo wanaonyamaziwa lakini wanatangaziwa. Mambo yamebadilika. Mambo yamekuwa mambo!
Ndiyo maana najiuliza, Rais huwapata wapi anaowateuwa? Walikuwa timu moja wakati wa harakati zake za 2015 hata kama ni sirini? (maana nawajua waliokuwa naye kuanzia Ukumbini na kwenye kampeni zake wakimuunga mkono waziwazi). wanaletwa na utaratibu unaowachuja na kuwawasilisha kwake? Anawapataje hasa kwasasa? Naichukia tabia ya kumchongea kiongozi waziwazi mbele ya Mteuwa wake.
Mzee Tupatupa wa Lumumba (kwasasa Kilosa, Morogoro)
Nimemkumbuka naona wapo kimya hawatoi hata tathmini zaoMkuu, Leo umemkumbuka Waziri Wa zamani Wa Fedha?