Asante sana hunshindi mie nakupenda sana mdogo wangu manake umenipa promo nyumbani shurti nasifiwa kwa ujuzi wa kupika kumbe ujuzi nimepata kwa dada alie tajiri wa roho
farkhina asiye na choyo mbona Mungu akubariki, hujuagi tu ulivyonisaidia. Si unajua haya mambo ya kukulia wali maharage ni kazi sana pilau hadi xmas hahahahaha.