A response to : “Rwanda’s Leader is Both Solomon and

vijarida uchwara? ni majarida ya watoto wa Genociders kuanzia Jumbo news kushuka... huwa wanaenda kuwatetea hata walio hukumiwa maisha kule Arusha! mi nakuambia siku wabongo wakishashtukia kina jMali ni nani haswa... PATACHIMBIKA!
mkuu si nilishakupa ushindi?
 
Hata kama gazeti au jarida linalochapwa mara moja kila baada ya miaka 100 likisema "leo ni jumatatu" wewe utaona ni uongo based on how many times its printed? Basi sawa umeshinda, I am sure watutsi-extremists wenzio wakisoma hizi 'pointi' zako wanafurahi kweli jinsi unavyonikomesha mimi "interahamwe". 🙄
Leo ni jumatatu according to who..unajua for the sake of future arguments..we need to establish what "fact" is to you and me before we can proceed
 
Mpalestina anasema its a fact Jerusalem ni mji wao...mu Israel anasema its a fact Jerusalem ni mji wao...so which one is a fact to you? Mhh
 
Wewe na facts zako huwa unanichekesha sana...udaku wowote unaoandikwa na hivyo vijarida uchwara kwako ni fact..what a dimwit
Yaani wewe, unachokiandika huwa unakijua mwenyewe. Sasa hapa ndio umeandika nini ? Unajuaje kama ni vijarida uchwara? Mmevichukulia hatua gani kwa kuandika uongo ? Acha porojo, andika hoja.
 
nani asiyekujua? si kesho tu unatuwa na story zako kutoka INYANGARWANDA! ushindi wa kweli huu hapa

Hissene Habre alikuwa anatawala kwa style ya paka. Jana amepata haki yake, muda huwa haudanganyi, ninyi pia muda ukifika mtapata haki yenu. Endeleeni tu kuua raia wema, mtakuja kulipa tu.
 
Mpalestina anasema its a fact Jerusalem ni mji wao...mu Israel anasema its a fact Jerusalem ni mji wao...so which one is a fact to you? Mhh
You should debate a FACT based on YOUR knowledge NOT based on who says what about it. Jerusalem mji wa nani haijalishi nani anasema, inajalisha MIMI najua nini... By the way Jerusalem has always been Israeli/Jewish.
 
Leo ni jumatatu according to who..unajua for the sake of future arguments..we need to establish what "fact" is to you and me before we can proceed
Do kwa hiyo wewe ukiambiwa leo jumatatu hauta bother kujadili fact, straight away utakataa kwa vile aliyesema ni "interahamwe"?
 
Hivi ngoja nichangie point moja tu ya RPF kufanya biashara. Hivi hapa Tanzania, CCM ina miradi mingapi? Viwanja vingapi vya michezo, majumba mangapi yanamilikiwa na chama? Kuna dhambi gani kufanya hivyo? Unafikiri chama kinaweza kuendeshwa kwa viingilio na michango tu? Mengine sijui.
 
You should debate a FACT based on YOUR knowledge NOT based on who says what about it. Jerusalem mji wa nani haijalishi nani anasema, inajalisha MIMI najua nini... By the way Jerusalem has always been Israeli/Jewish.
Hapo sasa ndio nimekuelewa vizuri...fact to you is not the truth but what you know. Even if what you know might not be the truth, to you its a fact. BTW the definition of fact is TRUTH.

Haya tuendelee..sasa this will be the basis of all our arguments

1. According to jMali..
Fact is what jMali knows.

2. According to me..
Fact is the TRUTH
 
Hivi ngoja nichangie point moja tu ya RPF kufanya biashara. Hivi hapa Tanzania, CCM ina miradi mingapi? Viwanja vingapi vya michezo, majumba mangapi yanamilikiwa na chama? Kuna dhambi gani kufanya hivyo? Unafikiri chama kinaweza kuendeshwa kwa viingilio na michango tu? Mengine sijui.
CCM sio private sector nzima wala hawajahodhi soko. Rwanda kila kitu ni RPF companies. hakuna chochote cha maana unachoweza kukitaja ambacho hakina mkono wa RPF. Kagame alipoingia madarakani haraka akafanya privatization uchwara na kuyauza mashirika yote ya umma kwa makampuni ya RPF. Na humo RPF mwenye kujua mahesabu ya makampuni ni Kagame mwenyewe pekee.
 
Hapo sasa ndio nimekuelewa vizuri...fact to you is not the truth but what you know. Even if what you know might not be the truth, to you its a fact. BTW the definition of fact is TRUTH.

Haya tuendelee..sasa this will be the basis of all our arguments

1. According to jMali..
Fact is what jMali knows.

2. According to me..
Fact is the TRUTH
Whatever, sasa rudi kwenye thread upinge hizo facts kwa that TRUTH you talk about, sio uanze personal attacks about the author
 
Back
Top Bottom