A response to : “Rwanda’s Leader is Both Solomon and

jMali

JF-Expert Member
Nov 9, 2010
8,379
4,899
cc: wakuu mchambawima1, Koba, murutongore... i'm sure mwandishi wa hii article ni interahamwe ambaye katumwa na FDLR kuichafua Rwanda, ni muongo tu, hivyo nadhani haitakuwa ngumu kumjibu pointi kwa pointi karibuni...

The most important point of this article is that statistics were manipulated and that the World Bank report questioning success was suppressed.

That is the real story about Rwanda:

1. Foreign investments are among the lowest in East Africa. Even the Chinese won’t touch Rwanda with a stick. It’s because they know that it’s a house of cards.

2. Domestic private investment is almost non-existent and the private sector is almost 100% dominated by RPF controlled conglomerates, such as Crystal Ventures or Tri-Star Capital. Trying to do business outside of the RPF risks getting you killed or exiled, as Tribert Rujigiro and Anapol Rwigara can testify to.

3. The Commission you mention was not set up to improve the business environment, but to improve in the “Doing Business” ranking. There is a big difference! A company can get registered in 24hours, but if you’re not connected to the RPF, you won’t get approved, or you’ll get harassed or killed. That’s not picked up by the ranking…

4. Rankings matter a great deal to the regime for the simple reason that 40% of its budget comes from aid money. The government is therefore obsessed with looking good to keep its donor darling status, so that they can stay in power. This is the reason why you have 64% women in parliament and no plastic bags. They know donors love that kind of stuff! All easy things to do when you have a totalitarian dictatorship (ever wondered how it took Rwanda less than 10 years to achieve what Scandinavian countries have achieved in 50?).

5. Kigali’s cleanliness is a key part of this PR strategy, because most westerners don’t see much more than the road from the airport to their hotel. In a country with a GDP per capita of just USD 600, cleanliness and absence of slums is usually a marker of dictatorship, rather than of success. Yangoon and Pyongyang are also remarkably clean. Kigali is a Potemkin village!

6. This PR strategy guides almost every decision. E.g. Kigali convention centre has no economic rationale, and no private company would be crazy enough to invest in it. Also, there’s not economic rationale for the recent decision to make buses go cashless, given that (a) 99% of the population don’t have smartphones, and (b) the cost of labour is tiny, so no need to get rid of bus conductors. It’s all just for show!

7. Crucially, Rwanda still has an almost exclusively extractive economy. People become rich through connections with the RPF, and through Congolese minerals. No Rwandan has ever got rich (in Rwanda) by inventing something or setting up a successful business. This sets Rwanda apart from other African success stories, such as Ethiopia or Nigeria.

8. Rwandan economic growth is almost exclusively concentrated in the construction sector and urban services. This is basically money laundering and recycled aid money. Take out Congolese minerals and aid money and Rwanda’s economy collapses like a house of cards. Again this sets it apart from Ethiopia, Kenya, Nigeria, etc.

9. There are growing and worrying indications that the model is faltering. From recent devaluation of the Rwandan franc to IMF bailout, as well as suppressed reports of famines in parts of Rwanda due to El Nino. Most worrying of all is the apparent failure of the agricultural policy of forced monocropping and land consolidation. This is particularly worrying, because of the parallels with 1990-93, when the failure of the same agricultural reform is thought to have been a major contributing factor to instability.

10. Corruption: I’m surprised that this still is part of the discourse, after the Panama paper revelations that showed that Ndahiro and Sekoko (known fronts for Kagame) had accounts in Panama. True, Rwanda has been successful at wiping out petty corruption. Because (a) it helps the PR cause, (b) has no value for higher up regime members and (c) is easy to do in a totalitarian dictatorship. But the head of transparency international Rwanda got killed a few years ago when investigating high level corruption (the type that has now shown up in the Panama papers).

11. Kagame is no Lee Kwan Yew. For a starter, Lee Kwan Yew used a Chinese meritocratic mandarin-style civil service to build strong institutions regardless of ethnicity. In Rwanda, you don’t stand a chance if you’re not a Ugandan Tutsi. In Rwanda, there are no institutions to speak of since the judiciary, legislative power and all the rest leads right up to the president. If Kagame dies, the country collapses like a house of cards, just as it did under Habyarimana.

12. Hutus and Tutsis don’t live in harmony. They’re just banned from talking about the disharmony. Rwanda is no more harmonious than Iraq under Saddam or Yougoslavia under Tito. Burundi’s Tutsi dictatorship also banned ethnic labels in the 1970s and then went on to massacre 100,000 Hutus…

13. The government is not interested in reconciliation. If it were, the gacaca courts would have tried both Interhamwe and RPF crimes. And Kizito Mihigo would not be in prison for singing about forgiveness. The government is interested in one thing only: staying in power so that they can keep extracting as many resrouces as possible before the place blows up again.Conclusion, Kagame is no Lee Kwan Yew, and Rwanda is no Singapore. A better analogy would be Rwanda under Habyarimana…

source: http://www.therwandan.com/blog/a-re...es-rwandas-leader-is-both-solomon-and-saddam/
 
jMali nani akujibu? jijibu mwenyewe! hizo ni zilipendwa wewe! ndiio maana watu kama kina Masunga Maziku wamechoka hayo manyau yako unayowatishia kila siku... wanataka kuja kujionea wenyewe... wewe na hao waandishi wako mnamatatizo sana na ni majanga kwenye EAC yetu... hamna haibu? juzi kuna post yako nyingine imepita wimawima eti oh... sijuwi lawyer Mholanzi katimuliwa kigali... mkaandika maneno kibao na sababu zisizo eleweka... wakati hata huyo lawyer mwenyewe amekiri kufanya makosa kwa kukusudia! we lawyer gani anaye omba VIZA ya utalii tena kwa kupitia ubalozi wa KENYA alafu kesho yake aamkaie GEREZANI eti anataka kuonana na mteja wake kikazi... inaingia akilini kweli hiyo? wazungu wanatabia ya kutafuta ujiko pasipo faa! Uholanzi kwenyewe kesi hiyo hiyo kesha kata rufaa hadi ya mwisho alafu hiyo mizaa ndio ailete kwetu? na kwa sababu kama hizi ndio maana watu washakuchoka na vilio vyako visivyo make sense! hata wenyeji wa Kigali waliotutupa kama kina MALCOM LUMUMBA wanakubaliana na Kagame ya kwamba hakuna budi mpigwe tu kabla hamjaeneza sumu zenu... BTW thanks kwa kuanzisha uzi mwingine ingawa MMBOVU... kule kwingine mshaanza kupachafua na maongezi yenu kuhusu kinga kama vile mmekosa hoja au swali la kuuliza....
 
Acha kuchepusha mjadala, kama kilichopostiwa ni uongo wewe jibu hizo hoja moja baada ya nyingine badala ya kunishambulia niliyeileta. Hizo thread zingine unazodai zimepita wimawima kazijadili huko huko. Rudi kwenye mstari mkuu.
 
lol... nianzie wapi? kwani nani aiyezijuwa PR zenu? ni uongo 100%
here is the real story though...
1. Rwanda Overview
2. kwa hiyo hao wawili tu ndio wafanya biashara wa-Kinyarwanda? na kama sio je kwa nini wao?
3. sasa wewe siupo Dar? waulize Azania Group, Bkhresa, Magodoro na... kama wana uhusiano na RPF? or meant for local guys like me? does it make sense? the charity begins... YOU guys are amazing!
4. easy thing to do, dictatorship? kwa hiyo na ERITREA wana enjoy maisha kama ya Rwanda?
5. kwani kuishi kwenye mazingira ya usafi ni hadi mpewe pesa?
6. hata wakati tunakopa pesa za kujenga mahoteri nyiwe na wazungu wenu mlituckheka sana, hivi wao ndio wakwanza kuzigombania wakija huku! acha wivu!
7. Rwanda’s Not-So-Improbable Ambition To Be A Startup Hub of Africa
Dah! hebu acha kunipotezea wakati...
 
Pointi kwa pointi:
1. foreign investment is among the lowest in East africa. Ni hoja ya kusema kama ni kweli au mwandishi kadanganya. Sasa unanipa link ya Rwanda overview ili iweje?
2. Kuhusu domestic private investment unatakiwa kuja na statistics zinazoonyesha kuwa makampuni ya RPF hayahodhi private sector in Rwanda. Ni hilo tu.
3. Kuhusu rankings unapaswa kuonyesha statistics ya makampuni yaliyosajiliwa vs makampuni yanayofanya kazi. Hizi utazipata RDB na "TRA" yenu huko.

Nashindwa kuendelea kukujibu vijihoja vyako kwa kuwa haviko kwenye thread, umetoka kwenye mstari....
 
Haipaswi kublame mtoa mada yeye ameleta tunyambue...
----NAONA KAMA YOTE HAYO NI MAJUNGU YA WAPINZANI WAKE./
 
Pointi kwa pointi:
1. foreign investment is among the lowest in East africa. Ni hoja ya kusema kama ni kweli au mwandishi kadanganya. Sasa unanipa link ya Rwanda overview ili iweje?
2. Kuhusu domestic private investment unatakiwa kuja na statistics zinazoonyesha kuwa makampuni ya RPF hayahodhi private sector in Rwanda. Ni hilo tu.
3. Kuhusu rankings unapaswa kuonyesha statistics ya makampuni yaliyosajiliwa vs makampuni yanayofanya kazi. Hizi utazipata RDB na "TRA" yenu huko.

Nashindwa kuendelea kukujibu vijihoja vyako kwa kuwa haviko kwenye thread, umetoka kwenye mstari....
sasa mbona unaanza kuchagua majibu, we chukua utajijuwa huko mbele ya safari!
1. KADANGANYA na hiyo link ni ku CLARIFY
2. RPF inafanya biashara tena ku bwa tu! na nilisha wahi kukuambia biashara zilianzaje... baada ya nyie kukimbia na hazina ya nchi yote... na baada ya kuwatimua, pesa zilizo bakia kutoka kwenye michango ya wanachama, ndio akili ya biashara ikaanza kwani kama ujuavyo hata sukari ilikuwa hamna! lakini kwa nguvu za Mungu ukichanganyua na maarifa ya RPF leo ni tofauti na huko ulipo(nasikia imehadimika?) Mh. Magufuli wamemuachia tambala, Mungu ambaliki afanikiwe
3. unanipotezea wakati... leo huku ilikuwa ni KIGALI CAR FREE DAY yani burudani tupu!
 
sasa mbona unaanza kuchagua majibu, we chukua utajijuwa huko mbele ya safari!
1. KADANGANYA na hiyo link ni ku CLARIFY
2. RPF inafanya biashara tena ku bwa tu! na nilisha wahi kukuambia biashara zilianzaje... baada ya nyie kukimbia na hazina ya nchi yote... na baada ya kuwatimua, pesa zilizo bakia kutoka kwenye michango ya wanachama, ndio akili ya biashara ikaanza kwani kama ujuavyo hata sukari ilikuwa hamna! lakini kwa nguvu za Mungu ukichanganyua na maarifa ya RPF leo ni tofauti na huko ulipo(nasikia imehadimika?) Mh. Magufuli wamemuachia tambala, Mungu ambaliki afanikiwe3. unanipotezea wakati... leo huku ilikuwa ni KIGALI CAR FREE DAY yani burudani tupu!
Haiwezani nilete hoja iliyopangwa kwa pointi halafu wewe ujibu kitwangakitwanga. Ila nashukuru unajiumbua mwenyewe, maana mtoa mada kasema RPF ndio private sector, wewe kwanza umebisha halafu hapo kimsingi unakubali the same thing. Anyway jumapili njema enjoy your CONDOM FREE DAY
 
cc: wakuu mchambawima1, Koba, murutongore... i'm sure mwandishi wa hii article ni interahamwe ambaye katumwa na FDLR kuichafua Rwanda, ni muongo tu, hivyo nadhani haitakuwa ngumu kumjibu pointi kwa pointi karibuni...

The most important point of this article is that statistics were manipulated and that the World Bank report questioning success was suppressed.

That is the real story about Rwanda:

1. Foreign investments are among the lowest in East Africa. Even the Chinese won’t touch Rwanda with a stick. It’s because they know that it’s a house of cards.

2. Domestic private investment is almost non-existent and the private sector is almost 100% dominated by RPF controlled conglomerates, such as Crystal Ventures or Tri-Star Capital. Trying to do business outside of the RPF risks getting you killed or exiled, as Tribert Rujigiro and Anapol Rwigara can testify to.

3. The Commission you mention was not set up to improve the business environment, but to improve in the “Doing Business” ranking. There is a big difference! A company can get registered in 24hours, but if you’re not connected to the RPF, you won’t get approved, or you’ll get harassed or killed. That’s not picked up by the ranking…

4. Rankings matter a great deal to the regime for the simple reason that 40% of its budget comes from aid money. The government is therefore obsessed with looking good to keep its donor darling status, so that they can stay in power. This is the reason why you have 64% women in parliament and no plastic bags. They know donors love that kind of stuff! All easy things to do when you have a totalitarian dictatorship (ever wondered how it took Rwanda less than 10 years to achieve what Scandinavian countries have achieved in 50?).

5. Kigali’s cleanliness is a key part of this PR strategy, because most westerners don’t see much more than the road from the airport to their hotel. In a country with a GDP per capita of just USD 600, cleanliness and absence of slums is usually a marker of dictatorship, rather than of success. Yangoon and Pyongyang are also remarkably clean. Kigali is a Potemkin village!

6. This PR strategy guides almost every decision. E.g. Kigali convention centre has no economic rationale, and no private company would be crazy enough to invest in it. Also, there’s not economic rationale for the recent decision to make buses go cashless, given that (a) 99% of the population don’t have smartphones, and (b) the cost of labour is tiny, so no need to get rid of bus conductors. It’s all just for show!

7. Crucially, Rwanda still has an almost exclusively extractive economy. People become rich through connections with the RPF, and through Congolese minerals. No Rwandan has ever got rich (in Rwanda) by inventing something or setting up a successful business. This sets Rwanda apart from other African success stories, such as Ethiopia or Nigeria.

8. Rwandan economic growth is almost exclusively concentrated in the construction sector and urban services. This is basically money laundering and recycled aid money. Take out Congolese minerals and aid money and Rwanda’s economy collapses like a house of cards. Again this sets it apart from Ethiopia, Kenya, Nigeria, etc.

9. There are growing and worrying indications that the model is faltering. From recent devaluation of the Rwandan franc to IMF bailout, as well as suppressed reports of famines in parts of Rwanda due to El Nino. Most worrying of all is the apparent failure of the agricultural policy of forced monocropping and land consolidation. This is particularly worrying, because of the parallels with 1990-93, when the failure of the same agricultural reform is thought to have been a major contributing factor to instability.

10. Corruption: I’m surprised that this still is part of the discourse, after the Panama paper revelations that showed that Ndahiro and Sekoko (known fronts for Kagame) had accounts in Panama. True, Rwanda has been successful at wiping out petty corruption. Because (a) it helps the PR cause, (b) has no value for higher up regime members and (c) is easy to do in a totalitarian dictatorship. But the head of transparency international Rwanda got killed a few years ago when investigating high level corruption (the type that has now shown up in the Panama papers).

11. Kagame is no Lee Kwan Yew. For a starter, Lee Kwan Yew used a Chinese meritocratic mandarin-style civil service to build strong institutions regardless of ethnicity. In Rwanda, you don’t stand a chance if you’re not a Ugandan Tutsi. In Rwanda, there are no institutions to speak of since the judiciary, legislative power and all the rest leads right up to the president. If Kagame dies, the country collapses like a house of cards, just as it did under Habyarimana.

12. Hutus and Tutsis don’t live in harmony. They’re just banned from talking about the disharmony. Rwanda is no more harmonious than Iraq under Saddam or Yougoslavia under Tito. Burundi’s Tutsi dictatorship also banned ethnic labels in the 1970s and then went on to massacre 100,000 Hutus…

13. The government is not interested in reconciliation. If it were, the gacaca courts would have tried both Interhamwe and RPF crimes. And Kizito Mihigo would not be in prison for singing about forgiveness. The government is interested in one thing only: staying in power so that they can keep extracting as many resrouces as possible before the place blows up again.Conclusion, Kagame is no Lee Kwan Yew, and Rwanda is no Singapore. A better analogy would be Rwanda under Habyarimana…

source: A response to a recent article posted in the Financial Times : “Rwanda’s Leader is Both Solomon and Saddam” | The Rwandan
Imeandikwa na Anonymous... That says it all
 
Haiwezani nilete hoja iliyopangwa kwa pointi halafu wewe ujibu kitwangakitwanga. Ila nashukuru unajiumbua mwenyewe, maana mtoa mada kasema RPF ndio private sector, wewe kwanza umebisha halafu hapo kimsingi unakubali the same thing. Anyway jumapili njema enjoy your CONDOM FREE DAY
sasa thread unaileta mwenyewe, ukiumbuliwa unaanza kuiharibu wewe mwenyewe kusudi tunao jiheshimu tukukimbie... hatoki mtu leta hoja!
 
hoja zilizoko tu zimeshakushinda unataka zipi zingine?
 
kaongea facts sio stori wala hadithi kama za ID zenu ooh "nilishuhudia hivi...." "oo ilikuwa vile". We jibu hoja au kaa kimya
hoja gani? hivi unajuwa maana ya FACTS? acha kupotezea watu wakati, tupo tunajadiri mambo ya muhimu! kwanza hata hiyo article yenyewe mmeirudia kusudi uchomekee zile nyimbo zenu... kwa kifupi mmemzidi hata aliye iandika! Interahamwe bana...
 
kaongea facts sio stori wala hadithi kama za ID zenu ooh "nilishuhudia hivi...." "oo ilikuwa vile". We jibu hoja au kaa kimya
Wewe interahamwe.. facts have to be varified...how do you verify facts from an anonymous source? Mmmh...halafu nikikuita dimwit eti nakuonea..

Kwa mfano tu point namba 3. Wewe ni "investor" huku huku sio?..kampuni yako ya kuuza machungwa haijawa approved?

Coz i know for sure hauna connection na RPF
 
"Leo ni Jumatatu"-anyonymous. Je unahitaji kumjua aliyesema ili kuthibitisha that FACT? Kwa kiwango chako cha reasoning no wonder mnakosa hela hata za condom!
 
Wewe na facts zako huwa unanichekesha sana...udaku wowote unaoandikwa na hivyo vijarida uchwara kwako ni fact..what a dimwit
 
Hicho kijarida kinasomwa na watu 10 kwa mwezi ndio unakisifia eti kimeandika "fact" ..umeishiwa wewe
 
Hata kama gazeti au jarida linalochapwa mara moja kila baada ya miaka 100 likisema "leo ni jumatatu" wewe utaona ni uongo based on how many times its printed? Basi sawa umeshinda, I am sure watutsi-extremists wenzio wakisoma hizi 'pointi' zako wanafurahi kweli jinsi unavyonikomesha mimi "interahamwe". :rolleyes:
 
Wewe na facts zako huwa unanichekesha sana...udaku wowote unaoandikwa na hivyo vijarida uchwara kwako ni fact..what a dimwit
Wewe na facts zako huwa unanichekesha sana...udaku wowote unaoandikwa na hivyo vijarida uchwara kwako ni fact..what a dimwit
vijarida uchwara? ni majarida ya watoto wa Genociders kuanzia Jumbo news kushuka... huwa wanaenda kuwatetea hata walio hukumiwa maisha kule Arusha! mi nakuambia siku wabongo wakishashtukia kina jMali ni nani haswa... PATACHIMBIKA!
 
Back
Top Bottom