A question to our evangelists | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

A question to our evangelists

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Yona F. Maro, Apr 24, 2010.

 1. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #1
  Apr 24, 2010
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  I have a QUESTION that has been bothering me for our Tanzanian Neo-Evangelists - especially for those who have made it their major preoccupation to post and discuss only Biblical Tracts and passages on these forums, and to teach only Bible Studies at our Tanzanian educational institutions - Kakobe, Gwajima ,Fernandes, Lusekelo, Mwingira , and all the others, most of whom I presume are TRAINED PROFESSIONALS in their chosen fields of human endeavor:

  What if all the TEACHERS and PROFESSORS (Tanzanian and foreign ones) who taught them at the various Tanzanian institutions, and the foreign ones that many among them later attended, including the American, Canadian and European missionaries who taught them at the public and parochial schools they all attended in Tanzania, had brought only the Bible as their only text-book, and taught them only BIBLE STUDIES, preparing their SOULS for ETERNAL LIFE with Night Vigils, and church services and praising the Lord - but no General Science, Mathematics, Algebra, Geometry, Trigonometry; no History, Literature, Geography, Sociology, Statistics; no Biology, Botany, Zoology; no Architecture, Philosophy, Pharmacy, Agriculture, Physics or any of these specialized fields of education...Only BIBLE STUDY and RELIGION!!!

  My QUESTION to them: WHERE and WHAT would all YOU BORN-AGAIN CHRISTIANS be today?Please think and reflect DEEPLY before RESPONDING!!!Because this is all the EDUCATION we are offering Tanzanians, and especially Tanzanian children today - BIBLE STUDY and RELIGION!!!

  We are TEACHING them only 'HOW to PRAY' to make miracles happen in their lives, and not how to study and work hard to achieve success!!!

  And no PERSONAL ATTACKS please - if you all can help it.
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Apr 25, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,563
  Likes Received: 3,860
  Trophy Points: 280
  Dear Yonamaro, asante kwa hii insight, nitajaribu kukujibu na mimi kuelezea ninavyowaza, na ukwelina mimi niko tayari kukosolewa, nina maelezo na maswali kama yafuatavyo:

  1. Kwanza hakuna Neo-Evangelists as far as the christian faith concerns, hii haijalishi umetoa wapi hilo neno, neo(new) kwa biblia ni makosa makubwa ya kitechniko. Kwanza, Yesu yuko hai hata leo hii, PILI: kazi ya kuhubiri ni ya wakristo wote na sio TU hao wachache uliowataja, Tatu; Tangu Injili ya Yesu inahubiriwa kila siku ni mpya kwa sababu neno la Mungu ni live, so kama utasema hilo neno ni sahihi basi linaanzia kwa Yesu mwenyewe.Leo tuna Roho Mtakatifu ambaye anatufundisha yote aliyotufundsha Yesu, anatuongoza na ROHO MTAKATIFU atakupa kibali cha kusema kile anachotaka Mungu. Kwa maana nyingine hao unaosema ni neo-evangelists kama kweli wanalisema neno la Mungu kwa mwongozo wa Mungu, ni sawa na kuwa umesema NEO-JESUS AU NEO-HOLY SPIRIT!!! be careful hapa

  2. Mathayo 28:19 "Go therefore and make disciples of all the nations, baptizing them in the name of the Father and the Son and the Holy Spirit"
  Mark 16:15: He said to them, "Go into all the world and preach the good news to all creation.

  Kwa hiyo hapa si kazi ya akina Gamanywa au mama Lwakatare kuhubiri injili ni ya kila mtu-infact tulitakiwa wote tuwe addicted na injili.

  Kuwa muhubiri injili hakukufanyi kuacha kazi ya professional ( biblia inasema asiyefanya kazi na asile: 2 Thess 3:10). Leo hii kuhubiri injili hakunifanyi niache kazi ya professional au kuwa shallow.

  Kuna watu wengi, wanakunywa pombe baada ya masaa ya kazi, wanaangalia mpira, vikao, wanashinda kwenye vikao vya harusi, wanaogelea, GYM, Kuangalia the comedy,films e.t.c!!! are they loosing their professionals?

  In bible Paulo alikuwa mshona mahema, Luka daktari, Mathayo mtoza ushuru, Daniel alikuwa fundi ujenzi, YESU alikuwa seremala, daudi mchungaji, Petro mvuvi, na wote hawa waliipelekea injili, kwa walioacha mitume wa mwanzi walilazimika ili kuwa na Yesu elimu yao imetusaidia kupata content za bible, hali kadhalika, Paulo aliendelea kushona mahema na kuuza hata kipindi akiwa anaeneza injili.

  3. Ni wapi na akina nani wanaowafundisha watu au waoto miujiza na jinsi ya kuomba tu?

  4. Mbona shule za kikristo zinafanya vizuri sana kwenye mitihani kwa ujumla?

  5. Hao unaosema neo -evangelist unataka uwafananishe na missionaries? missionaries walikuja kama missionaries, swala la elimu lilikuwa la wakoloni wa kizungu kutufundisha ili kuwasaidia kutawala! elimu ile ya zamani haikutolewa kama pipi, ilikuwa na walakini nyuma yake, je unataka na leo hii akina Mwingira wafanye hivyo?

  6. Ikiwa kuna wazazi ambao wanawabana watoto wao kusoma bible study na religion tu ni makosa, ikiwa wanasoma vyote na elimu ya kwaida sioni hofu yako ni nini? nimelelewa kwenye familia ya kikristo, kila jumapili tulienda kanisani na kufundishwa biblia , je unataka weekend watoto wafanye kazi gani nyumbani? kuangalia katuni za Tom and Jerry au games? au kuna watoto wanafundishwa biblia katika kati ya wiki??

  7.General Science, Mathematics, Algebra, Geometry, Trigonometry; no History, Literature, Geography, Sociology, Statistics; no Biology, Botany, Zoology; no Architecture, Philosophy, Pharmacy, Agriculture, Physics --HIZI ULIZOZITJA naamini wakristo ndio wanaongoza humo, je unapata wapi au je unastatistics za kuonyesha watoto wangapi hawasomi au hawatasoma hayo masomo?

  8. Naomba uelezee utaratibu wa ibada katika hayo makanisa, lolote lie na useme kipi kina suggest kuwa watoto wetu hawatapata elimu nzuri? usiwaze na kufikia conclusion at leats kwa level yako you must have evidence to support your arguments, ambapo hamna prove yoyote kwenye article yako yote.


  ...............

  Kitu nitakachokubaliana na wewe kama leo utalaumu kwa nini wachungaji wengi wa sasa hawafanyi kazi! I will support you. Ila wako walio wafanyakazi, professors, PhD holder na still ni wachungaji na kazi zao wanazifanya kama kawaida.

  Kingine kikubwa kabisa haya madhehebu yote yalianzishwa hakuna kanisa la leo aliloliacha Yesu na ambalo utalikuta limeandikwa kwenye biblia kuwa ( Lutheran) hamna! yote yalianszishwa na yanaendelea kuanzishwa na hao wainjilist watakuja watakufa na kuondoka dunia itazunguka tu. Kwa hiyo hamna dhehebu superior kwa lingine, wala lililo inferior kwa lingine.


  Asante.
   
Loading...