A question from curiosity….

Kinachoni-impress mimi labda napohudhuria ile sherehe au tukio la ndoa,hiyo ishu sijawai kuiona,ila napoona my frend anaoa huwa nakua impressed,only that
 
Kinachoni-impress mimi labda napohudhuria ile sherehe au tukio la ndoa,hiyo ishu sijawai kuiona,ila napoona my frend anaoa huwa nakua impressed,only that
Inakuwaga haswa baada ya reception….
 
Mkuu mimi nadhani ni imani tu waliyojijengea baadhi ya wanadamu kama ambavyo huamini kwenye kufungua champaigne kuwa ule mfuniko utakayemdondokea ndie mwoaji/mwolewaji atakayefuata.

Nadhani ni hivyo tu.
 
kuna siku JOHARI msanii yule rafki wa ray aliulizwa mbona uolewi akajibu KAMA MAUA NIMEDAKA MENGI NIKISEMA NIYAWEKE NITAFUNGUA BUSTANI

kiukweli haya mambo tumeiga kwa wenzetu wana hiyo imani na mara nyingi hutokea ila sisi tunaiga na hatueelewi lolote
ni kama ile movie ya kutupa ela kwenye maji atakaeokota anakuja kuwa mke au mume wako
kwa hiyo hilo jambo ni imani binafsi i dont blv na mpaka umri wangu hivi sijawahi kudaka hata siku moja huwaga naangaliaga tu naimani Mungu ndo atanipa mwenza when its the right time
 
^^
Kuamini jambo ni kuliandalia mazingira litokee, lisipotokea limekosa matendo.
Sitashangaa nikiona hata huku kwetu kijijini nikiona wasio oa au wasioolewa wakianza kukimbilia maua ili wapate ndoa, maana baadhi yetu waafrika tumekuwa watu wa ku copy and paste mambo bila kujua asili yake ilimradi tu ni ya mzungu, ni kana kwamba tumepewa ubongo kwa makosa
^^
 
Kuna katuni nimewahi kuiona mahali..
Bibi harusi aliporusha maua akina dada walikanyagana huku wakiyagombea.
Lakini Bwana harusi aliporusha ya kwake vijana mabachela walikanyagana kwa sababu ya kukwepa kila mtu hataki limpate yeye....
 
Mi nadhani ni mbwembwe tu za harusi hizo ! Sasa we huna mpenzi,mchumba wala kimada afu eti ulinyake ua ndo uolewe sijui uoe soon mmmmh sijawah amini!!!
 
Kuna katuni nimewahi kuiona mahali..
Bibi harusi aliporusha maua akina dada walikanyagana huku wakiyagombea.
Lakini Bwana harusi aliporusha ya kwake vijana mabachela walikanyagana kwa sababu ya kukwepa kila mtu hataki limpate yeye....

Hahahaaaaaa....
 
wabongo kwa kuiga............

il ahivi ni kweli ulidaka lile ua utaolewa au ikoje ikoje
 
Ts js a myth..ndoa kisa umedaka ua?hahhhahha,no wayy..
 
ni watu kuiga tu haina uhalisia wowote wala maana.....

kwa mfano huna hta mchumba ukidaka hilo ua utaolewa na nani???

ni watu kuiga tuu ila haina uhalisia
 
mmmmhhhhh @gorgeousmimi kwa upande wangu sidhani kama hii ni kweli na wala sioni connection yoyote ya kupata ua la bibi harusi na kisha wewe kuwa next bibi harusi,nimeajribu sana kuunganisha uwezekano wa hicho kitu lakini nimeambulia patupu na hivyo kufikia mkataa kuwa wala si kweli bali ni desturi tu walizojiwekea watu mbali mbali na tamaduni zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…