Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Habari,
Weekend hii nikiwa nimepumzika nikitizama filamu kwenye luninga,nikaona part ambayo imenipa maswali,wapendanao walifunga ndoa kisha kawaida bride(bi harusi) kabla ya kuondoka na mumewe akarusha maua alokuwa kayabeba…kisha wale ambao hawajaolewa wakaanza kuyangangania na kuyagombania langu eee langu weee….maswali kadhaa yakanijia kwanini wanagombea ua lilorushwa…kama ilikuwa imeandikwa likufikie wewe si lingekufikia tu?Kuna ukweli wowote kwamba ukilinyaka wewe lile ua kuwa utakuwa bi harusi si baada ya muda mrefu?
Kuna mtu yoyote alinyaka hilo ua na akawa biharusi mtarajiwa…Na kwa wanaume je kuna kitu chochote kama hiki ukipatiwa ni ishara ya kuwa utakuwa next groom?Please share your experiences:A S-rose:….
Cc Heaven on Earth lara 1Vaislay Swts ICHANA Himidini sokwe watu8 Isumbwile farkhina Husninyo miss chagga sungura1980 The Boss Blessed Blue G masai dadaChocs amu Happiness Chujio charminglady badiebey Excel xiexie Mkoroshokigoli wengineo wote

Last edited by a moderator: