Enzi zangu za miaka hiyo.Miaka ipi?
No retreat no surrender
Mi Nilikuwa sipigani eneo ambalo halijazuukwa na kokoto, sikuwa mgomvi ila watu walinionea, ukombozi wangu ni mawe. Namshukuru Mungu sikuua mtu zama zile. Nilifurumusha mawe ya kutosha pasi kujali yanampiga eneo gani mwilini.No retreat no surrender
muhimu kutunza mali
Aache kandambili aone atakavyorudishwa na kiboko